@omartz51: 🏠Nyumba inauzwa ipo Tunguu round about. haipo mbali na barabara kuu. Dakk 3 tu kw miguu. ina vyumba 4 master 1 ukumbi mkubwa, dining room jiko,toilet public na ina kisima pia. Ina eneo kubwa la fence. Ukubwa wa eneo ni futi 75 kwa 65 Bei milioni 80. maongezi yapo call ☎️ 0674 985068 #creatorsearchinsights #zanzibar #zanzibartiktok #fypシ゚viral #trending @khamis___isco___22 @Chidy_ Real State 🏝️ @Abrahman Ali