nikupeni ushauri jaribuni kuweka na namba zenu ili tuulize maswali tukupigien aawa
2026-11-07 19:54:58
3
timbwa :
kakataza,wapi mtume
2026-11-07 18:35:10
1
Hudhaifa __10 :
Wapi Mtume S.A.W alipokataza? mnataka watu wakienda makaburini waongeleee mipira na mambo mengine ya kidunia? sasa si ni bora watu wakawa wanasoma Qur'an na dhikri mbali mbali kuliko kukaa kimya au watu kuongelea mambo ya kipuuzi. Hebu ifikie mahala acheni kujiona kuwa mnaijua dini sana kuliko wengine kana kwamba nyie wenzetu mnateremshiwa wahy baada ya Mtume
2026-11-18 04:44:07
0
khambazan :
kwahio apoakida mtu mkubwa ndio sio bindaa na kifo gani ambacho sio khafla?
2026-11-08 18:12:41
0
kipingu mcharo :
yaani mawaidhapia nibidaa mazishini
2026-11-10 20:37:32
0
Abuu Yassir :
kwaiyo twaweza kumuombea Dua kwa sababu hatukupewa kaifiyya ya istighfar
2026-11-08 11:18:21
0
zuhura mkomwa :
kaiyo tufanye nini sasa
2026-11-07 19:50:38
0
Omari Shaibu :
ILIKATAZWA KUSOMA QURAN?
ILIKATAZWA MAWAIDHA?
2026-11-07 20:53:50
0
abdikani :
😂😂😂
2026-11-07 15:32:21
0
allbarjas, البرجس :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-17 16:13:38
0
To see more videos from user @ibunjumuatv, please go to the Tikwm
homepage.