@faridabeautyacademy: CHUO BORA CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUBANDIKA LESS WIG , KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi minne NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000) utapatiwa Makeup set kwa ajili ya mazoezi,Tishet Mbili, Taulo , seti ya vitana ,Passport, Kitambulisho cha mwanachuo NOTE:Mwanafunzi unapaswa kuwa na rasta angalau bunda moja kwa siku kwa ajili ya mazoezi 📌TUNA MADARASA YA JIONI KWA WAAJIRIWA TUNA MADARASA YA YOUTUBE BURE JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUJIUNGA👇👇 https://youtube.com/faridaothman?si=9hyfNnJoTsez6vWe

FARIDA BEAUTY ACADEMY
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 15:52:13 GMT
57779
2073
57
67

Music

Download

Comments

miss.thezea
miss THEZEA💞💞 :
mi nilitoa hofu na nikajiamini kwamabA naweza atakama sijui nilikomaaa adi sasa nawza bado hiyo stich
2026-11-07 17:07:34
12
malqeeyabeauty
Malqeeya Beauty 💋💋 :
Natafuta Msusi/hairdresser, Nairobi🥰
2026-11-08 16:04:20
0
mgaya.c
Mgaya C :
Mimi nahitaji msusi ambaye anaweza kaz zote za saluni
2026-11-07 21:37:38
2
muu.heart
Muu Heart🫀 :
mimi ilinibidi nifunge salón maan nilikuwa naumia kwa kuwafaidisha wengineee
2026-11-08 04:46:19
5
momrody1
trisher saloon&Collection👗📞 :
Niliwezza naasasa naweza kila kitu namahukuru Mungu msusi nimm mwenyewe
2026-11-08 08:12:47
0
user5016113056009
user5016113056009 :
habari natafuta mdada wa kusuka mitindo yote nipo morogoro sgr
2026-11-08 05:41:38
1
shoselisa
shoselisa :
mimi sina saluni ila nayaka kusukwa hivyo ni bei gani?
2026-11-07 18:04:32
1
lucy.solis439
lucy the quet❤💓 :
mum najua kawaida sana but nataman kujua zaidi
2026-11-08 09:12:00
1
trice.hair.beaut
TRICE SALOON MWANZA :
Me nilikua sijui baadhi ya nywer nilikua naumia mteja akija alafu iyo nywele sijui kusuka naumia ila mungu ni mwema nilikua nafatilia baadhi ya post zako naumia sasaiv nipo vizur 🙏🏻🙏🏻ubarikiwe
2026-11-07 18:01:56
0
user504358288383
Shishy 👸🏻 :
My dear nahitaji kujua kusuka stichi
2026-11-07 18:43:19
0
kirikuu50
Kirikuu🦋 :
Natamn siku moja nije kweny hicho ila ada ndo shid 😭😭😭
2026-11-07 15:57:42
1
kavugho.siriwayo
gracian siriwayo5 :
na kupenda
2026-11-07 21:27:07
0
smilee7197
official Halice🌺🌼🌺🌼 :
Masimango na boss mwenye saruni
2026-11-08 12:12:30
1
aginess.kullay
Aginess Kullay :
minimeifung mpakaleo
2026-11-08 13:46:00
0
melanin9251
🎀melanin :
natafuta msusi dodoma
2026-11-08 15:11:24
0
marcokabwogi
marco :
kipata wateja nakuwapeleka pengine
2026-11-08 13:56:18
0
angel62903
angel_🦋 :
sorry muhula mpya wa masomo Inaanza lini?
2026-11-08 16:11:03
0
officialippy2
crybabe_ippy🦋💫 :
mie niliajilia mitindo mengine nilikuw sijui nilikuw naumia unakuta mteja anakuja wanapewa wafany kaz wengine ila ile hasira ikaw inanifanya najifunzaa 🥰
2026-11-08 14:23:05
0
kavugho.siriwayo
gracian siriwayo5 :
nipo 🇨🇩
2026-11-07 21:27:31
0
user2321904350018
da bong beurty 💋 :
changamoto ninyingi too dada angu
2026-11-08 11:58:20
0
user309619818703
miss Kenya🇰🇪 :
nataka. kusomea. uko. wapi
2026-11-08 11:24:51
0
rinrin_0133
✨️Empress 👑🎀 :
mimi had sasa hivi badoo nahangaika bad ata sijuw kusukaa na nimeshafungua salon wa dada kila mara wananisumbuaaa😭😭😭🙌
2026-11-08 20:06:36
0
neymosh6
neylucky :
mimi nataka hiyo kucha ya stichi
2026-11-08 09:32:50
0
ukhtyrahma09
Rahma's Elegance Hub🌹 :
Habari, natafuta mdada wa saloon anayejua kusuka vizuri mitindo yote
2026-11-07 23:54:32
0
phinesteve66
phina@@@ :
ada ni shilingapi
2026-11-08 11:20:44
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About