@madininews: Mwananchi mmoja aliyejitokeza mbele ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa kilio chake kuhusu kero za huduma za afya, ukosefu wa nidhamu kwa baadhi ya watumishi wa umma, pamoja na madhila mengine aliyoyapata katika maisha yake. Tukio hilo limetokea leo, Novemba 7, 2026, wakati Dkt. Mwigulu akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Polisi Mwandoya, vilivyopo Jimbo la Kisesa, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Simiyu.

MADINI TV
MADINI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 16:08:09 GMT
22132
678
7
7

Music

Download

Comments

munisi829
munisi :
kuna baba alisema tutamkumbuka
2026-11-07 18:31:42
3
faimamohamed2
Faima Mohamed :
alimchagua lini jamani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 18:10:24
3
dahuu303
DA HUU 💅💅💅 :
waziri mwenyew haamini
2026-11-07 18:34:35
1
hatibukiroki1
kiroki :
nakubali
2026-11-07 18:06:36
2
eco7991
Eco7991 :
kwaiyo doctor asinywe chai???
2026-11-07 18:57:35
0
sophiaboniphas613
[email protected] :
jamani mange ashasema wataanzaa kuiponda chadema washalipwa hao
2026-11-07 18:52:08
0
mwambavicent
MWAMBA VICENT 🇹🇿 :
😂😂😂 tz km Kenya tu
2026-11-07 18:48:49
0
shakiramsamba
Baby shaky :
Nimecheka kidg japo Inauma za
2026-11-07 18:43:07
0
dr_hamirojo1
سكوفيل :
eti shikilia Maik
2026-11-07 18:38:13
0
dorriensaj
Jesusdaughter💥 :
😂😂
2026-11-07 18:55:32
0
ibrahimusheshe
sheshe boy :
mh waziri nchi ipo mabegani mwako kwa sasa
2026-11-07 17:48:29
5
dottomalicomingog
D, mingogwa :
alisema tuta mkbuka
2026-11-07 18:51:03
0
samtech0116
Sam Tech Phone & Accessories :
anayoyaongea hayo unaweza usimwelewe mpaka unapokutana nayo ukienda hospital za kata. Dkt yupo busy kuperuzi wewe ukiwa unajieleza shida yako. ni huzuni mno
2026-11-07 18:34:22
0
rehema2404
Rehema :
🥰🥰🥰
2026-11-07 16:56:14
1
To see more videos from user @madininews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About