@mohammed_khan163: Nilipoingia Masjid Al-Ghaith Morogoro, nilihisi amani ya ajabu. Mwangaza, usafi, na mapambo ya ndani ni ya kupendeza mno. Ni sehemu inayokufanya upende kuabudu. Watu wameuita "Makka ya Morogoro" kwa uzuri wake. Ewe Mola, ijaalie misikiti yetu ibaki kuwa nuru ya miji yetu. 🤲 Njoo uone mwenyewe uzuri huu - utaipenda! 📍 Masjid Al-Ghaith - Morogoro##06Nov2026 #Morogoro #MasjidAlGhaith #janganlupabahagia
lekebisha iyo makka ya Morogoro makka ni moja tu uislamu siyo content kaka mskit mkubwa jeeh watu wakufanya ibada wapo jeeh madlasa zipo na walimu wanajaliwa
2026-11-07 19:16:28
7
robbe :
Moro stand up
2026-11-07 20:07:03
0
good boy :
masjid gadafi umefika dodoma umefika
2026-11-07 21:47:51
0
ummu yeesir :
mashaallah nikirud tz inshaallah
2026-11-07 18:17:29
2
fahalally :
Mashalll
2026-11-07 18:52:48
0
Duvali1234 🌻 :
🙏🙏alhamdulillah
2026-11-07 16:19:50
0
Dullh Dullah :
MashaAllah msikiti upoo vzl
2026-11-07 18:20:13
1
virgil 14 :
kama makka tuoneshe basi nguo za mtume kaburi la biamina
2026-11-07 20:00:23
1
ismahili situmai :
mashaallah mistiki mkubwa uko kampala
2026-11-07 16:27:43
0
Yaccah19 :
iringa
2026-11-07 20:06:25
0
Mussa Juma :
shinyanga na iringa ni ya kawaida tofauti na huu wa moro
2026-11-07 19:42:08
0
kweji :
usiseme kwamba nimkubwa Africa mashariki na kati ungesema kwauzuri hapo ningekuelewa ule wa dodo unaujua vizuri ule msikiti nimkubwa sio poa
2026-11-07 20:20:35
0
user8857695052287 :
mashaallah 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-11-07 20:44:28
0
Dizzo Suedy :
mashallah
2026-11-07 20:13:27
0
Yaccah19 :
2026-11-07 20:07:26
0
Yaccah19 :
njoo na masjid faraj uone shekh
2026-11-07 20:05:35
0
Mrs.Rammy ❤️🔒❤️ :
Mashaallah
2026-11-07 20:15:24
0
hamisaathanas :
mashallah
2026-11-07 20:03:40
0
Ridhiwan :
mashallah
2026-11-07 19:02:30
0
LIMODO :
Mashaallah❣️
2026-11-07 18:55:39
0
salim Abushir :
MashaaAllah lakini Iko misikiti mikubwa sana zaid yahuo
2026-11-07 18:53:10
0
Rehema Rashid :
mashaallh mashaallh
2026-11-07 18:48:58
0
kimamy_ray💞 :
mashallah
2026-11-07 18:28:49
0
isihaka :
2026-11-07 18:20:28
0
Haiba Ally :
Masha Allah
2026-11-07 19:42:00
0
To see more videos from user @mohammed_khan163, please go to the Tikwm
homepage.