@bashasha_tv: Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma SSP, Yusuph Kamota, ameendelea ukaguzi na utoaji wa elimu ya usalama barabarani, usiku wa kuamkia Novemba 07, 2026 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma ikiwemo Stendi kuu ya Mabasi Nane nane. SSP Kamota, amebainisha kuwa mbali na kutoa elimu ya usalama barabarani amebainisha makosa mbalimbali ikiwemo ukataki wa tiketi kiholela na ujazwaji wa abiria kwenye mabasi. Aidha, Afisa Mfawidhi wa Mamlaka ya Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dodoma, Ezekiel Emmanuel, amebainisha kuwa madereva wanatakiwa kuwa wamethibitishwa kwenye mfumo wa LATRA ili kukidhi vigezo wa kuwa dereva halali wa gari husika. Vile vile ameongeza kuwa madereva wanatakiwa kufuata sheria maana mamlaka ziko macho usiku na mchana. Kwa upande wa madereva wa mabasi na abiria wamepongeza juhudi za Jeshi la Polisi usalama barabarani kwa hatua wanazochukua ili kudhibiti athari zinazoweza kujitokeza barabarani. #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia

bashasha_tv
bashasha_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 16:34:46 GMT
263870
14171
396
201

Music

Download

Comments

shadary546
Shadary :
dogo katulia ata hatetemeki [Tears of joy] i need that confidence
2026-11-07 17:46:02
42
neemamsofu
Ney🍭🍬 :
daah wanaume kuna muda kumbe wapole iv
2026-11-07 17:33:05
109
felix_broker_songea
SONGEA BROKER :
KUTAFUTA TU SABABU YA KUWAUMIZA VIJANA DOGO ANAPAMBANA MPE ONYO AU MAELEKEZO ANAVYOTAKIWA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA BALABALANI THEN MUACHE AENDE WENGINE NI WADOGO LAKINI WAMEBEBA MAJUKUMU MAKUBWA YA FAMILIA SABABU SIO MUHALIFU HAJAIBA MAHALI WALA SIO JAMBAZI INAUMIZA SANA SOMETIMES
2026-11-07 17:41:10
119
_ammohamed
Mohamed🤠 :
Kifungu cha 77(1) cha Sheria ya Usalama Barabarani (Road Traffic Act), Sura ya 168, kinaeleza yafuatayo: 3. Endapo dereva atashindwa kuonyesha leseni yake wakati anapotakiwa na askari polisi, anaruhusiwa kuiwasilisha ndani ya siku tatu (3) katika kituo cha polisi kilichoelekezwa na askari huyo. (Kumshikilia hapo ni kuto mpa haki yake)
2026-11-07 18:36:20
15
machembajr0
Machemba Jr :
hakuna sheria ya kutembea na lesseni
2026-11-07 17:44:11
74
world202661
Disney :
Maisha ya hivi ya kutishana yataisha lini, Dereva katoa ushirikiano wa kutosha, askari anaendelea kutoa kauli za kutishana tishana.
2026-11-07 17:55:04
26
pritty.macha4
Pritty Macha :
hongera afande
2026-11-07 17:29:59
11
chartchaser00
Chartchaser :
hiyo leo posho hawataki
2026-11-07 17:56:01
9
schola.kisigo
Schola Kisigo :
mbona namba kataja na mmeipata
2026-11-07 18:32:24
7
johnluhende5
Ngosha Family💪 :
mbona kawatajia cha Mhimu mnageuka tena
2026-11-07 16:55:18
32
kajirumoja1
Kajiru oforo :
Daaha nilitaka kusema neno ila tutafute hela maskani haminiki
2026-11-07 17:37:52
20
mohammedmajuto320
MOH.SAIBARI :
KWANI POLISI KAZI ZAO NGAPI😂😂😂
2026-11-07 18:12:48
10
0763278278a
madam English :
mngeangalia tu kwenye no yake ya simu kama jina ndo lenyewe
2026-11-07 17:56:56
9
suleiman2520
Suleiman :
kulikuwa Kuna uwezekano wa kumpa utaratibu wa barabarani na kumuacha a ende na pirika zake.. kijana amejitoa na kufanya kazi za halali yaan na akitoka hapo majukumu ya familia yanamsubir yaaan shida tu
2026-11-07 17:49:22
10
mrgarget
ᴹᴿ᭄FABRIC ☯࿐ :
YANI POLICE HAWAMTAMBUI MTU MPAKA PICHA YAKE 😂😂😂😂
2026-11-07 17:31:51
7
abubakary170
Abuu👦🏿🤏🏾 :
road life🙌🏿
2026-11-07 18:58:06
0
user4434975529986
official mimi kp :
jamaa mpole uyoo pk namuonea hurumaa
2026-11-07 17:39:11
6
user7639336721152
Alinanine mwakamala :
Yani wameona hakuna sehem pa kumkamatia dah
2026-11-07 17:58:12
5
mwajakasseke
bint kasseke :
😏policy siwakubalig ata kidogo😏
2026-11-07 17:53:27
5
dayocha01
dayocha furniture :
ila kijana ametulia lugha ya mwili anaangalia machoni vizuri na maneno yake yametulia hayana pumzi ya hofu au uwoga 💪💪💪
2026-11-07 17:46:00
6
jamesstephanoluko
james stephano lukong'ola :
ila sheria ukishinda hili linakuja lingine
2026-11-07 17:35:59
8
ezeog4
eze Og4 :
ila uyu RTO ana hekima sana pia ana uruma apendi kona kona we mwambie ukweli tu ili akupe elimu ya barabaran
2026-11-07 17:34:47
6
kelly96983
Le kelly96 :
daaah Maskini bado tuna hali ngumu sana. hapo Kuna cha kujifunza wakuu.
2026-11-07 17:03:03
8
chidyboy196
chidy boy :
wameaza tenaa
2026-11-07 17:16:54
5
hamispower583
Hamis power :
alafu akiiba munamwita mwizi wakati kuna wezi wakubwa na amuwasemi
2026-11-07 17:52:16
5
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About