halafu mtu anakwambia kuvaa suruali sio dhambi mungu atusaidie hawaelewi Hawa viumbe
2026-11-11 05:53:52
2
boniface obuya :
katazo la mavasi yasiofaa Isa 3;16-26,Jer 4;31
2026-11-11 07:39:17
2
Mungu ndiye anae inua. :
nimeipenda hiyo, mungu akubariki sana kuelimisha wale waliodhan Surual Kwa mwanamke inawafaa!!, haiwafai hata kidogo na hii ntapg vta mpk naingia kabr
2026-11-11 10:02:13
1
ayubujoseph616 :
mungu nisamehe
2026-11-11 07:26:43
1
evanskhamala180 :
Asante kwa mawaida
2026-11-11 10:39:01
2
Darcy.....💕💞 :
Hiyo ya mavazi sasa Mungu atusaidie kwakweli
2026-11-11 07:23:50
1
Isimael Karisa :
kwa haya yote mungu atu semele kwasababu ni wachache mno wenye wata epuka haya
2026-11-11 11:41:01
0
Florence :
Thank you for your advice
2026-11-11 07:33:43
1
stivin komba :
nikweri Amina sana 🙏🙏🙏
2026-11-11 10:15:28
0
angellukando :
merci pour le coseille
2026-11-11 10:59:14
1
Saidi mukoko :
ok
2026-11-11 11:08:50
1
annett :
Amina
2026-11-11 09:09:29
2
david magembe :
naahadi kubadilika maana tamaa ya kutaman nilikuwa nayo
2026-11-11 05:17:38
0
chr eliza :
niae
2026-11-11 09:31:42
1
nunu boss :
mungu atuongoz
2026-11-11 06:41:35
1
Silent b k :
samahani wapendwa kwani dhambi ya kuzini na mtu moyoni inatutafuna wote au ni mimi tu na pepo la tamaa???? naomba majibu watumishi na maandiko katika bibilia katika bwana.Asante
2026-11-10 18:51:34
1
showam :
umetisha sana pasta mungu akulipe kwakutuelekeza mana wengiwao wamesha potea kabisa amen
2026-11-11 06:31:38
0
To see more videos from user @super.2tz, please go to the Tikwm
homepage.