Mimi nnawatatu na nmeolewa na mtu ambae hna mtoto ata mmoja mungu amtunze mmewangu nmpenda sana kwa upendo wake na kunijali mm na watoto wangu Allah amlipe pepo ya firdaus 🙏🏻
2026-11-08 04:52:43
170
aloycejoseph :
Hakuna shida kabisaa, hapo kuna mambo mengi, unaweza kuoa asiye na mtoto lakini bado akazaa watoto wote nje ukahisi wa kwako, kumbe kazaa nje, na unaweza ukaoa mwenye mtoto akakupenda akatulia mkazaa watoto wengine mkalea kwa pamoja bila ubaguzi. wengine hawana watoto lakini tayari wametoa mimba kadhaa, kwahiyo kama umempenda mtu na mnaendana, unaoa tuu.
2026-11-08 06:23:50
60
mjemaboy4 :
mwanaume ameumbiwa kuanzisha familia sio kuendeleza familia🔥🔥
2026-11-08 04:48:12
37
💞DI,JA💞 :
Maneno ya Hekima kabisa👊
2026-11-08 05:11:45
19
First boe_Dill :
me mwenyewe naoa ila mwisho awe na wawili 😂 yaani me mtoto wake ananizuia nini
Kaka mungu azidi kukuzidishia hekima mungu akubaliki Sana ♥️♥️🙏🏻👌🫶
2026-11-08 03:25:29
79
Ester/Lucia :
Mungu akujalie upate mke mwema kaka yan upate paradiso ya ndoa
2026-11-08 07:51:55
6
@wtinesqueen :
wewe kaka mungu akubariki na uwe na moyo huo huo
2026-11-08 05:04:15
19
Sharon chanda :
thanks you brother good bless you 🥰🥰
2026-11-08 08:43:23
1
Amina Mwailonda :
asante kak tutie myo
2026-11-08 06:38:09
10
Eunice :
Mungu akubariki sana kaka
2026-11-08 06:48:32
5
Loyce Gina :
A matured Man
2026-11-08 08:39:14
1
Rùyam :
Asante 🙏
2026-11-08 08:46:27
1
bite mongi :
good boy🙏🙏
2026-11-08 07:59:59
1
Evelyn Lissa :
kweli kabsa bro maisha Haryana mipaka
2026-11-08 06:37:00
5
Teddy bear 🧸❤️ :
Mwenyezi mungu amjalie maisha malefu huyu kaka 🙏
2026-11-08 05:16:08
6
yusrat mbuli :
nimekupenda bure kaka anguuu
2026-11-08 07:03:24
5
Mama Zahra ❤️🍼 :
Mume wangu kanikuta nawatoto tunaishi vzr sana nanibaba bora natamani Kama tungekutana zamani hata hii zawadi ya watto ningempa yeye Mungu anitunzie huyu kijana
2026-11-08 05:42:23
33
mwajey💫💦 :
HEKIMA NA BUSARA VIENDELEE KUMTAWALA HUYU KAKA, AMEBALIKIWA🥰
2026-11-08 06:14:26
8
Loveness Msagati :
mungu akubaliki kaka unaroho nzur
2026-11-08 03:20:39
21
A N G L E M A S T E R💈 :
point ya muhimu sana mwanang am apricciet bro💪 kumbe unawaza kama mim
2026-11-07 17:28:28
22
Prisca Emmanuely❤️ :
uishi miaka mingi broo.
2026-11-08 04:48:27
5
Jimmy Vedastus :
Ndoto ya kila singo maza
2026-11-08 05:10:21
14
To see more videos from user @mudycutting, please go to the Tikwm
homepage.