acheni njaa zisizo na msingi mbn tok kitambo tulikuwa fresh tu uwongozi wanini acheni tamaa
2026-11-16 10:33:14
2
Thx :
mbona mnaigombania iyonafasisana
2026-11-10 20:47:39
1
saidi s kalole :
kwa kwa dunia ilipo fikia ss ivi wat wema awaish mda mlefu dah mungu atulinde na janga ili
2026-11-07 18:42:32
1
Mr.Hawadh :
mlikubaliana na nani kuanzisha iyo UWALITA au tulipofikia sasahivi kila kundi lenye nguvu kidogo linaweza kujiamlia tuu
2026-11-25 12:31:21
0
immaJ4 :
zaman waliishije watapeli wakubwa
2026-11-14 08:36:31
0
HOX_CEE :
ndyo linin hilo li uwalita mbon me silijui.kosa langu nikuto kuingia mtandaon siku1
2026-11-18 12:08:58
0
MAJEBHELE ASILI :
kuna kitu nyuma ya pazia niaminini mm
2026-11-09 06:16:58
1
KANJIH SERIES :
UWALITA , kwanini mbashindwa kuwachukua ma dj wote Tz na kuwaweka kwenye packej yeni ili kuondoa changamoto zaupatikanaji wa movies Tz ,mana kila mkoa unachangamoto tofauti tofauti kupata movies kutokana na ma dj kutoa movie kwa kuvutana vutana na kupewa mapato madogo sana kutoka UMOJA MOVIES DISTRIBUTION malipo yao ni madogo sana na munalipa ma dj kwa kujiamulia ninyi na sio kwa kuangalia ubola wa dj , kwann huu mfumo haujakaa sawa kwa ma dj
2026-11-10 16:22:45
1
360 :
mi nataka kujua upatikanaji wa lesen maan kuna ukaguzi zido ya sisi na lesen
2026-11-17 11:37:51
0
KHAMISI WA PACHANNE +255 :
mfano kama mimi nipo kijijini lind uku iyo leseni naipataje pia hizo movies napataje
2026-11-23 02:13:41
1
s̈äïd̈ÿ m̈n̈ÿäm̈ẅëz̈ï :
wizi tu
2026-11-16 10:33:19
0
Ɓºttº ęmpịṛę :
KAMA MNATUTETEA ITAKUA VIZULI SANA MANA WATU WAMEVUNJIWA COMPUTER ZAO HAWANA KAZI SASA .WENGINE WANAJIFANYA UMOJA MOVIE KUMBE FEKI WAPO KWAAJILINYAKUHALIBU MASHINE ZAWATU KISHA WANA TOWEKA
2026-11-23 16:21:48
1
Mr Videographer Dagea :
MJE NA KAHAMA .....Au tutengeze kikao kwanza cha kikanda
MJE Kanda ya ziwa
2026-11-08 13:13:41
2
EMMATRONIX assesories :
matapeli nyie mlinitoa
2026-11-10 18:14:43
0
MAKINGA PHONES :
Insulin’s
2026-11-18 17:50:23
0
amjr🇹🇿🇿🇦🇧🇷🇧🇻💪💪 :
yie nimatapeli tu
2026-11-16 11:44:21
0
user3266890627269 :
Miliki I kwanza madjs wote, watoe movie kwa wakati kila wiki, ndio mje kuongea na sisi
2026-11-17 07:58:09
0
love and god :
mna zingua sana
2026-11-25 06:44:40
0
@fabian elias :
That movie unity is like oppression on the other side, because your management is not even understandable. That movie unity is like it belongs to this person and that person, just to exploit each other economically. But if you look, even the movie prices in the streets are not understandable, people don't follow the rules, and you guys, truthfully, people have already started seeing you as conmen because your management is not good, bosses."
2026-11-12 05:47:19
0
GENDA TZ⌨️🖱 :
unaposema wewe ni umoja wa video library Tanzania lazima useme kwanza umechaguliwa na nani kwakuwa ili uwe katika umoja wa video library ni lazima uwe na library na pia lazima uchaguliwe na wamiliki wa library. kama wewe umependekezwa na umoja movie au bodi ya filamu wewe ni umoja wao sio sisi
2026-11-10 12:15:00
2
Iddy Music :
🔥🔥🔥
2026-11-07 17:37:31
2
To see more videos from user @uwalita_tz, please go to the Tikwm
homepage.