@mwenye.nchi: Ndunguru aje kutuambia huo uchochezi wa maelekezo ameutoa wapi? maana hata katiba hii mbovu tuliyonayo haisemi uchochezi wa kuikosoa serikali kuwa ni jinai
sio kuchochea mipango ya serikali kuiondoa kwa njia ya sheria nayo ni kupiga kura sio kupenduwa kwa fujo
2026-11-07 20:34:51
0
user5050290931499 :
ww ndie Rais wetu
2026-11-08 08:13:51
1
@Musa :
Rais wa Tanganyika
2026-11-08 06:11:45
1
hussina :
aa kumbe
2026-11-07 19:12:21
2
Ramadhani Hamisitanzania :
Mim ni ccm lakin hii sjaipenda kabisa
2026-11-08 06:06:27
1
micajunia :
our jesus
2026-11-08 10:04:51
0
g.lover😋 :
siku7 zijazo mungu atatuma sheria,
2026-11-07 18:20:40
2
vijana garage :
kwel mtetezi wetu
2026-11-07 22:25:42
1
user3611991609265 :
Acheni msihangaike maana hatuna mahakama huru kwa sasa.
2026-11-08 01:58:01
1
Hakika Mush :
For the future
2026-11-07 21:03:36
1
Abuu Madina :
Rais
2026-11-07 21:47:32
1
T🦮🐈⬛🏴☠️🇦🇨 :
anajua sana sheria mkuu saluti🫡
mungu atabaliki atatoka mungu yupo tuuuuuuu
2026-11-08 04:45:28
0
""The Matthew Jr"" :
Kusema au kutoa kauli kuwa utazuia uchakuguzi si kosa.Ila kutenda matendo ambayo yatajaribu kuzuia uchaguzi ni kosa.Kusema nitahamasisha umma kuzuia uchaguzi si kosa.Ila umma ukitenda matendo yenye nia ya kuzuia uchaguzi ni kosa.Kwa mtazamo wangu mimi nafikiri Mh. Tundu Lissu alifanikiwa kuhamasisha umma kutenda majaribio ya kuzuia uchaguzi.Anyway tusubiri tume ya jaji Lila 🙌
2026-11-08 08:36:41
0
Ngussa :
kichwa cha Tanganyika siyo Nyerere
2026-11-07 20:44:33
2
Mustapha Omary :
Duuuu uyu jamaa mm ikikichwa duu noma
2026-11-08 09:28:52
0
user6199980879 :
izo segerea zilijengwa. kwa ajiri yetu na sio mbuzi ccm ni maku maku maku maku maku maku maku maku maku maku maku
2026-11-08 05:53:17
0
ELA DADA :
🥰🥰🥰
2026-11-07 19:05:07
1
My LINAH :
😭😭😭
2026-11-07 17:31:11
0
Ram foxes :
😁😁😁
2026-11-08 05:13:00
0
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm
homepage.