yaani usinikumbushe kaka nimekaa naye miaka 8 leo hii anaenda kuowa mwanamke mwengine shaabani
2026-11-08 12:36:05
11
omyg :
kuna mimi apa nimemuachia Mungu,sjui ni ushamba kumuachia Mungu,,,,...
2026-11-08 17:08:24
22
Unforgettable Brain⚠️ :
sahv ananambia mm sio hadhi yangu😭😭😭😭😭😭
2026-11-15 01:15:04
3
butterfly girl23 :
goodbye 😅😅😅 labda miti shamba siioni
2026-11-08 06:44:41
5
Mama D ❤❤👌👌 :
ndo mimi hapa nimekaa naye miaka 7 na tumepata watoto wawili na ameenda kuowa mke mwingine wa ndoa ya halali kabisa ila nimeshamwachia mungu niko napambana nalea wanangu
2026-11-08 13:09:31
8
Sabra Rashid :
yalinikuta ayooo ila mie ckumfanya chochote cjui niende kwa waganga au niwe nalamika mi niliamua nimuachie maisha yake alikaa na ndoa yake mwaka mmoja bila mawacliano namimi nashangaa amejirudisha saivi ananipalawama eti simuamini tena na simpendi tena kama zamani bac nabaki kumuangalia tu hhhhhuuu
2026-11-11 14:45:08
1
Veronica Lukanda :
God bless you
2026-11-13 19:50:39
0
Ashfah ❤️😍😘 :
hizi post mbn zinakuja jmn 😳
2026-11-14 20:58:04
2
Iyan :
Kwa babu sio mbali😄😄
2026-11-08 05:38:58
4
Goldrich Golden :
mungu asaidie wenye ndoa sii rahisi
2026-11-07 19:33:42
1
Sharon :
Miaka 11 juz kasema kachoka kuongea na mm😭namwachia mungu 🙏
2026-11-11 06:29:41
1
Royder Philimon :
Ndo Mimi huyu ila nilimuachia Mungu,
2026-11-08 20:09:58
1
dorkas dabaly :
huyo mtu ni mimi namwachia mungu
2026-11-11 21:08:29
1
remmyshalismohamm :
ata mwaka pia nikumpotezea mtu mda
2026-11-08 21:22:36
2
gee :
ndo maana watu wanaroga
2026-11-10 06:17:30
1
hajraah :
lazima wanaume walipie
2026-11-08 13:48:02
3
Queen nai :
on point
2026-11-07 23:24:14
0
PATONZY20 :
2026-11-14 17:19:28
0
mtoto wa neema na kibali :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-12 15:54:46
0
baby girl :
Nd me hapa yamenikuta cn ham
2026-11-12 03:55:16
0
Sabaha❤❤❤ :
Mimi akijaribu kunipotezea muda atakuwa anaoa daily 😂😂😂Try me at ur own risk
2026-11-16 16:29:41
0
Ma Boy😘 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Men
2026-11-13 11:56:53
0
Binti Mwasyebule ❤️ :
mimi miaka 8 nime poteza watu walitaka kunioa ni kataa ila alicho kifanya kaoa kisilisili nakuja kujua mtandaoni kapost uwiii mungu awalaani watu awa kwa kweli
2026-11-13 06:30:30
0
aminabakarisalum :
Mi nane
2026-11-13 18:31:54
0
Harieth.Patrick :
kaka 🤝💯
2026-11-08 12:43:57
0
To see more videos from user @lovedisaster1, please go to the Tikwm
homepage.