@rockdadavua: USIBONYEZE LINK, PESA ZOTE UTAIBIWA NA SIRI ZAKO ZOTE ZITAKUWA WAZI MTANDAONI. ⚠️ Wanakutumia LINK ubonyeze ili ushinde pesa nyingi sana bila kufanya kazi. Ukishabonyeza tu, Pesa inaenda, WhatsApp inaenda, picha na siri zako zote zinaenda mtandaoni. FANYA HIVI KABLA HUJAIBIWA: 1. Usibonyeze link yoyote kutoka namba usiyoijua 2. Kama ni benki au M-Pesa, nenda kwenye App yenyewe, sio kwenye link 3. Tuma hii video kwa mtu mmoja unayempenda umuokoe Umesha wahi kupata SMS kama hii? Andika "NDIYO" au HAPANA kwenye comment. SAVE hii video, kesho inaweza kukuokoa. #UsibonyezeLink #UtapeliMtandaoni #Tanzania #Elimu #UsalamaMtandaoni

Rock Dadavua
Rock Dadavua
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 17:14:22 GMT
88
2
3
0

Music

Download

Comments

abigaelibenard
stay humble🫂🫶 :
na hiyo sound ya nini?😏
2026-11-07 22:23:41
0
To see more videos from user @rockdadavua, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About