jmm me ndo maan kila siku navushwa na askali wa uhasibu mwaka wa tatu huu 😂😂💔 ad police wamenikariri 😂🙌
2026-11-08 15:37:13
84
__charminggal🌸🧸🧷 :
Nioneni mshamba tu ila me kuvuka mwnyw bila kushikwa mkono siwezi na sio siwezi ni naogopa balaaa🙌 na nikivuka lazima niimbe ile nyimbo ya shule ya msingi…. Wakati wa kuvuka barabara tumiaa busara usikimbie kuwa mwangalifu kuepusha ajali…….😔
2026-11-08 14:48:37
14
CHOLOBI :
Nilikoswa na roli. Ni Mungu tu
2026-11-08 17:39:10
26
Justin stamphord :
dar mamb meng umakin unatakiwa jamn
2026-11-09 06:52:29
7
🤭🍒 :
tunaomba waweke hata zebra na sheria kali kwa madereva wanaopita hii njia jmny 🥹inauma
2026-11-08 13:29:38
15
Glyner official🥰 :
mbn me sipajui ni wap hapa
2026-11-08 14:10:37
5
offical nabu💝💝💝 :
dah bado kidog nigongwe apo juzi
2026-11-08 13:16:49
10
It's_JayNation :
imepita na wengi sana🥹😭
2026-11-08 11:55:39
5
𝓣𝓮𝓭𝔂 𝓫𝓮𝓪𝓻🧸🌸 :
Nilivokua nasoma kurasini shule ya msingi nilkua nikishuka uhasibu apo kuvuka naogopa kulikuag na maroli sivuki mpk nimuone trafki
2026-11-09 10:20:49
5
ISSA MBUPU :
hii bara bara ipo wapi vip inatak ifanane na morogoro road
2026-11-08 14:13:03
8
yo're crush😘 :
yaani dah mungu atuweke milele🥰🥺
2026-11-09 01:35:47
2
MAU DREAM'$ :
😭😭 😭 Allah Atupe Mwsho Mwema
2026-11-09 17:59:11
1
🌬️🌬️🌀 :
kuna sisi UDSM na pale kijazi daah mi huwa navushwa makelele yale unaweza jikuta umebaruzwa,😂🙌
2026-11-09 07:30:15
5
Nareen maa :
Pumzika kwa aman Love jmn😭
2026-11-09 05:14:18
1
Asterayaa🤍 :
😩😩mm fest iaa na sijui kuvuka barabara nnaogopa vepee
2026-11-10 09:57:16
1
Anne Lexy :
nimesoma Tia ila sasa hivi pale jamani ni pamekuwa pa hatari san kuvuka
2026-11-09 11:44:06
3
chimamy_bae🌹💋❤️ :
hv apa kwnn wasieke kivuko jamnn hii place ni risk sana uii mimi nlkua naogopa sivuki bila watu nashkuru Mungu nmemlza salama🙌🏿🙏🏾
2026-11-09 14:07:59
2
little_luxe_tz :
waeke jamani taa za kuvuka km za magari wanazima yani ukimaliza kuvuka apo una mshukuru mungu .zebra zipo lkn hamna dereva anazizingatia
2026-11-08 19:52:59
3
Cas.bert💋 :
me najifanya kilema kila siku nivushwe tena madereva wanastop wanakuja kunivusha Mungu nisamehe naogopaga
2026-11-09 06:56:21
1
Sundy💋💋 :
Naomba MTU awe ananivusha hii barabara
2026-11-08 16:01:12
3
❥❃ 𝖆𝖎𝖊𝖒 𝖗𝖆𝖊 🥀🦋 :
wapumzike kwa amani 🥹🥹🥹
2026-11-08 16:01:21
1
unnalovely :
💔🥺 Kipindi nipo First year siku ya Ijumaa nilikoswa chupu chupu na gari aisee ni mungu tuh haikuwa siku yangu😭🙌🏽
2026-11-11 20:47:42
1
Hajra 🎀 :
duhh mim Huwa naogopa sana jmn mpaka nivushwe na Mtu ndio navuka🥺
2026-11-08 16:55:45
3
Prod Reeq :
Kuna hii road ya keko huwiii ni kelele
2026-11-09 15:47:57
1
To see more videos from user @tiamembers2026, please go to the Tikwm
homepage.