kwani mam zetu zmani walikua wanafanyaje jamani adi tumekua
2026-11-10 17:45:12
0
momGirls😇💝🦋 :
hiyo tansraipa ni nin jmn
2026-11-08 11:26:18
0
mamothman :
hiyo infection ya candidas inasababishwa na nn
2026-11-08 18:00:12
0
J&J STEP STYLE :
Asante kwa darasa
2026-11-07 17:39:54
0
aby thomas :
ndoo mtot wangu natoaje iko chakutolea umekitaja kidigo
2026-11-08 15:25:23
1
user4771006088128gudila mushi :
wakwangu yaliganda mdomo mzima nilipompeleka osptal wakasema nifangas nabaaada yakutumia dawa amepona namshukur Mungu
2026-11-08 17:41:47
1
MOMY SANIYA💦❤️ :
doctor mm maziwa yanamwagika sana yan mpk bas mda wote kuoga maan nanuka maziwa hakuna ata dawa au namn ya kufanya yasiendelee kumwagika maan napata shida sana
2026-11-09 00:01:21
0
Mwanahamis Msangi :
unakuta mwingine upo hadi kwenye lips na fizi lakin ananyonya vizuri na halii hyo nayo ipoje ni bacteria au hali ya kawaida
2026-11-08 06:12:41
0
Abby :
mwanang alikuwa anaukuwa nao kweny ulimi nikimpa juice ya chungwa unaisha
2026-11-08 17:50:10
0
Sabra nurdin515 :
sukari msafishe
2026-11-10 09:30:41
0
Trace Queen's :
🙏🙏
2026-11-07 18:42:59
0
Nuu5996295945 :
🥰🥰🥰
2026-11-07 17:56:14
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.