Tunarudi palepale hakuna cha dini imesema bali wanaume ni wabinafsi
2026-11-07 19:56:47
155
🦋yuni🌸 :
Mwanaume wakijipata wanajisahau 😒
2026-11-07 18:09:21
102
Kidachiistore :
Na huyo Bi Aisha ndo mm 😂😂😂 Lkn nasema Allah atajibu tu
2026-11-07 18:44:47
54
official Latwintz :
Aisha alivunjika moyo ile cku tuu ulipofanya maamuzi ya kuowa,,sbb kl ndoto aliyoota kumbe aliota kwa ajili ya mwanamke mwingine,power iliisha,nafsi ilikinai kl kilichopo duniani, alibaki na rabbi nipe nguvu nimalize umri wangu ikiwa wtt wangu wameshajitambuwa
2026-11-07 22:54:22
44
Ms natty🇷🇼 :
Mim siku mume wangu ataoa ategemee hatoboi mwaka na kama sunna ni kuoa tu bhc na afanye maana hatajua kilichomkuta hii itunzwe kama kumbukumbu na ushahidi kuanzia alie olewa mpk muoaji hio sunna kwangu haipo na aifutilie mbali mnatuzoea sana
2026-11-08 03:31:26
13
princess 4really :
yani mim siku mume wangu alipooa mke wa pili baada tu ya kufanikiwa wala hakujali dhiki na tabu nilizomvumilia ndio siku dunia yngu ilibadilika licha ya kukubali na kua kimya lkn kwenye moyo wangu ni kwamba sina mume kwangu ni kama amekufa japo yupo hai.
2026-11-08 13:40:49
6
user5498429115296 :
hii stori inafann kabisa na maish yngu nlopitia
Allah atupe subra wanawake jmn
2026-11-08 03:51:41
21
its_ fahy🦋 :
🥺 nani atanielewa nimhadisie ninavyojiskia kwa sas plz
2026-11-07 20:34:17
23
hawath :
inshaallah mhmewang mtarajiwa ntamuacha aoe apate furaha anayoitak ila sitapunguza chochte kwake 😓ntalia nikiwa sipo mbele yake nitatabasam nikiwa mbele yake,,,ntajifunza kuizoea hiyo hali😊 na sitamjaj kwann kafanya hvo pengne kamuona mzur zaid yang au kaona vitu vzr ambavyo alkua anavitaka uwiiiii ntamlilia Allah na sitagombn na mtu
2026-11-08 11:20:00
4
Ommar :
Sio ubinafsi wala nn, ni vile tu watu hawaelewi kuwa tumeruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja ila tumesisitizwa tusioe kama sio waadilifu. Uadilifu hapo ni kuweza kufnaya kila kitu unachofanya kwa mke wa kwanza na wapili kiwe vilevile usizidishe wala kupunguza ukamfanya mwngne ajihisi vby kitu ambacho ni kigumu mnoo mnooo😅
2026-11-08 05:45:56
8
Maram.mir :
Ukweli ni kwamba ....kwa wanawake wakimya jamii ya Aisha hawana muda wa kuuliza maswali ambayo unauhakika wa 100% kuwa muhusika ana majibu yake! nikuulize ili iweje! nigundue nini? njia za mtu ni sawa machoni pake yeye mwenyewe! kabla ya kufanya kitu kigeuze kwako wewe kwanza! chukua hisia za mwenzio halafu jiulize ingekuwa wewe ungeweza? kama huwezi hicho kitu si sahihi! Aisha ni mvumilivu ila kama hukumuuliza ...safari yake ya kuondoka kimya kimya ilikuwa imewadia!
2026-11-08 06:27:07
6
Lynder Empire :
Kabla hajaongeza mke aniache kwanza
2026-11-08 05:48:14
6
arvila :
Swali kwako mwanaume, hivi Sunna pekee katika Sunna zoote mnazozijua ni kuoa tu? Sunna zingine hamzijui ila kuongeza wake tu??? it's soo pain. binafsi ningekuwa na uwezo ningelifutilia mbali kwenye Quran hilo swala la kuongeza wake. hakuna mwanamke anaeweza kuzifurahia taatifa hizo, ni sawa na mtu akupe taarifa ya msiba
2026-11-07 20:28:31
6
fatuma hayeshi :
hata ikitokea kwangu wala sintamkataza allah ndio atajibu
2026-11-07 19:19:06
10
Bint_seif🦋 :
Sina ata cha kusema ila bi Aisha amenifunza somo zuri sana😔
2026-11-07 20:28:30
16
user1650838445690 :
mm mume wng akija akipta sijikuzionea huruma pesa najichukulia changu mapemaaa kisha na aoe
2026-11-07 20:01:49
4
Mîsojî :
Akitakakuoa,aniachekwanza
2026-11-08 13:02:16
0
salmakhamis43 :
nimejifunza kitu kw bi aisha ila dunia ya sasa wanaume mnaoa tu kufanya sunna mnayo sema ila uwadilifu hamna na kikubwa mnajijali nyinyi tu na kuegemea upande mmoja na kuacha maumivu kwa mwengine allah atupe subra tulio kwenye ndoa inshallah
2026-11-07 20:34:53
5
Naya natural products :
hakika wengi wakifanikiwa ndio hukumbuka kuongeza mke lakini wakiwa na hali duni na mwanamke akawq njia moja wapo ya kuendesha familia basi hawawazi kuongeza mke. hapo lazima mwanamke avunjike moyo coz kakuvumilia kwenye shida ila kwenye raha ndio unamuita mwengine afurahie dah!
2026-11-08 08:41:02
2
sakinabeautystore :
mim wangu nimpa ruhusa aoe hataki
2026-11-08 05:53:36
0
baby G :
wanaume huwa mnajisahau sana aisha yupo sawa kbsa
2026-11-08 04:14:41
1
Swiyaam mmbaga💕💕 :
Allah amuongoze mume wangu
2026-11-07 19:35:22
1
Vaileth Molel :
nisote mm mwenzangu aje kilaini kwa kweli hapana inauma sana.
2026-11-08 15:20:11
0
Mrs Engineer ❤️ :
Allah atufanyie wepesi tudumu katika haki na subra
2026-11-08 14:55:30
0
ZAYLITO ARIES♈️♥️ :
mhm
2026-11-07 18:42:27
0
To see more videos from user @marriagetalkstz, please go to the Tikwm
homepage.