@beyondpodcasttz: “Mungu si kitu, Mungu ni Nafasi” . . Keep streaming Episode 2, Click link on bio to watch full episode. Production Credits Production House: @visualmax.tz Executive Producer: @visualmax.tz Creative Director; @maticsleokas Producer: @deogratiusgram Chief DOP: @joekazi_tz Kindly Like, Comment and Repost! #astrology #beyondpodcast #humannature #podcaststudio
Hoja ya brother Deo ni nzuri. lakini pia naye amefanya 'Labelling' according to his understanding of how things work. kusema Mungu ni nafasi bado unampa labels ya vitu ambavyo ufahamu wa mwanadamu can comprehend. hiyo ni namna mojawapo ya kumuelezea Mungu, lakini Mungu mwenyewe ni zaidi ya nafasi - that is neither His totality nor his absoluteness.
2026-11-08 05:51:28
8
wonder autopart :
Moja ya watu waliochoka kutafuta ukweli kuhusu ulimwengu ndo hawa sasa
2026-11-07 20:46:24
6
bariki :
m mniache mtanipoteza bishaneni wenyew
2026-11-15 07:37:35
1
shayo kevyn kobra :
Mungu ni chanzo kikuu cha nishati ya ulimwengu
2026-11-07 23:26:57
3
Ðunąs_Ent :
Bro, natamani siku moja nijumuike kwenye Podcast yako ikikupendeza nichangie kitu.
2026-11-08 00:54:32
3
MLIMWENGU🌀 :
ni kweli mungu sio kitu kama tungesema kitu basi lazima tuanze kujadili chanzo natukianza kujadili iyo mada ya chanzo basi ata mungu na yeye angekuwa na chake na iko chanzo kinge kuwa na chanzo chake tuko pamoja bro na tamani nije apo tupeane mawazo mawili ma tatu
2026-11-08 10:22:46
3
betterchoice :
me sielewi kitu
2026-11-16 19:43:19
0
Flo Flora :
Asante mkuuuuuuuu nakusikiza
2026-11-08 06:03:08
1
Princess Charity 🌹🌹💋 :
Asante
2026-11-09 04:12:18
1
meku meku :
Dah
2026-11-09 16:23:17
1
Joseph Junior Mbwagha :
m ni upande Wa mbili nakubishia we hujamjua mungu vizuri bro
2026-11-08 18:08:06
1
swaiba :
naweza kukaa na wewe meza moja tukanywa maji
2026-11-12 17:38:34
1
six one eight :
HUYU ANAMUONGELEA MUNGU GANI KWANI,MUNGU ANA APARTMENT ZA VYUMBA TENA?
2026-11-12 21:05:14
0
makwega makwega :
Generator operater destroyer
2026-11-15 20:53:33
0
Ashraf_99 :
Bro unadiscuss mada ngumu na watu ambao wanaitikia mmhh!
"Ukisema Mungu ni mshkaji Fulani hivi tayari umeshampa umbo".
"Mungu si kitu ni nafasi, ambayo imeshajikata vyumba."
Bado kuna udhaifu kwenye kujenga hoja. Kuhusu Mungu.
2026-11-08 04:15:24
4
To see more videos from user @beyondpodcasttz, please go to the Tikwm
homepage.