@simbascofficial: SI MLISEMA TUWE TUNAKUMBUSHANA?

Simba Sports Club
Simba Sports Club
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 18:04:18 GMT
3512
464
22
0

Music

Download

Comments

hijaby111
Hijaby🌸 :
Amefaint na akampigia mikato ile,Djigui Diara ametazama tu,uso na macho akamtisha ka anaenda kulia akadesh kushoto,akaimaliza kwenye nyavu,kamuacha beki mmoja licha ya kwamba Bacca ana nguvu sana lakini karamba nyasi Djigui Diara,mbele yake ni Elie Mpanzu Kibisawala,amemwambia soma namba io ni 34 hatari,amedesh kulia,akaenda kushoto kwa guu la kushoto akaiweka kwenye net,Elie Mpanzu Kibisawala,amekua akitengeneza saaaaaaaaaaana,sasa anabonda🦁♥️
2026-11-07 18:21:40
2
2002pauloo
peter jr$$ :
mnyamaaaa🦁🦁🦁
2026-11-07 18:06:38
2
paulongayda
p@ulgibril :
simba always
2026-11-07 18:08:54
0
jafarmbise
Jafar Mbise :
ila sisi simba tunajua kukera bana 😂😂😂😂😂😂
2026-11-07 18:24:47
1
mwano45
ëmmåñüël jàçöb☠️💀 :
duuh ila simba 🦁🦁🦁🦁
2026-11-07 18:11:35
1
dr.aboom
🥼.Aboom :
bado wanapumua😂😂
2026-11-07 18:15:31
1
konde.john10
Konde John 🍏 :
Hahaha 😂😂😂😂
2026-11-07 18:09:20
1
he.is_pelm
he.is_pelm :
2026-11-07 18:06:24
1
mamakelai
husna mkama :
ila mpanzu anajua kunidhalilishia watu😂😂😂
2026-11-07 18:40:54
0
user0623818l3787
abuu&sanya :
adimin bado sindano haija wauma ongeza
2026-11-07 18:08:39
0
cattyt22
cherryink19 :
huyo n yao 😅😅
2026-11-07 18:18:45
0
saoroi49
Saoroi 🥰 :
🤣🤣🤣 hii ni noma sana
2026-11-07 18:11:46
0
mafwele7
Mafwele7 :
kumbukumbu muhimu😂😂😂
2026-11-07 18:13:38
0
herme368
Her😍 :
Ila nyie😂😂😂😂
2026-11-07 18:07:59
0
evance.goodluck6
Evance Goodluck :
Ilaaa
2026-11-07 18:08:16
0
user1092965273579
samira :
2026-11-07 18:28:02
0
dizzoclassicbrand_ckj
DizzoClassicBrand_CKJ🛍️🛒 :
😂😂😂
2026-11-07 18:12:37
0
king.mwafifi
King Mwafifi 🤴 :
2026-11-07 18:15:14
0
namzyboytz
Namzy Boy Tz :
adimni fanya umalize ungomvi na wanchi [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 18:11:52
0
ms__chuchu
Chuchu🦋 :
10/10 nalipa 🥰
2026-11-07 18:10:05
0
user3319579100716
Husna :
ila admin wa Simba Hana mambo mengi kam maadmin wengine tena kam admin wa pamba Jiji na fountain gate khaaaa hao watu so poa wanajuwa kukera sana 😂😂😂😂
2026-11-07 18:38:49
0
davidmnema
Mr. Bonjour 🇹🇿 :
hapo kuna chenga hizi✌️😅
2026-11-07 18:08:07
0
davidtabexa
d bway :
😆mbona ndoto mbaya hii kwa utopolo😂
2026-11-07 18:18:21
0
deelove19340
~Dee@love🥰🥰 :
♥️♥️♥️
2026-11-07 18:06:17
2
ommykhantz166
Omar mjatta⛎ :
🥰🥰🥰
2026-11-07 18:06:38
2
To see more videos from user @simbascofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About