@newblockcity_tz: Vyumba vitatu, Gharama ya Material TU -Msingi = 10mln -Boma = 12.2mln -Paa = 11mln 🚧➡️ 33mln Karibu @newblockcity_tz Kwa Ramani na Ujenzi We will give you exactly what you need. Kama una project ya kujenga na unatafuta watu sahihi wa kukusaidia kuanzia RAMANI → BOQ → UJENZI → USIMAMIZI, karibu. 📲 @newblockcity_tz 📞 +255717682856 📍 Mbezi Louis #hardwaretools #BOQ #constructioncosts #DPC #ujenzi

newblockcity/ ramani na ujenzi
newblockcity/ ramani na ujenzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 18:13:25 GMT
30926
761
93
188

Music

Download

Comments

billyblanks27
12:00🇵🇷 :
😂😂😂😂 mwenye nyumba kapigwa😂😂😂😂
2026-11-08 06:34:48
15
rich_bn_rich
Rich_ :
msing m10 kwamba anajenga gorofa?
2026-11-08 11:22:40
3
denismoshi.pyc
memoo.py :
amepigwa
2026-11-08 06:33:50
7
deojustintarimo
tarimo store morogoro :
msingi milion kumi kwa nn
2026-11-08 06:22:56
5
kitalitoo
Kitalitoo :
Acha nichukue mafundi wangu wa mtaani tu😂😂
2026-11-08 13:20:48
1
_alexghost
FREE FARM :
Hii mpaka hapa ina 1.3M
2026-11-08 13:45:38
1
benedictorodilah
debs04 :
kwa chuga versatile ungeenda mpk 20M
2026-11-08 08:37:32
1
max.pku
MAXIMILIAN🇹🇿 :
Msingi wenyewe 10m kwa 3 bedroom 😂
2026-11-08 09:11:22
1
cholokina
user469385809584 :
msingi wa milioni 10 umetumia material gani😳
2026-11-08 11:13:51
1
wise0480
Wise 💎 :
Sio kweli
2026-11-08 10:16:01
1
kahabwagypsum_decor
kahabwa luxury homes :
mtuanaejua UJENZI Bora anakuelewa vizuri kaka
2026-11-08 10:33:57
1
sylivanus.cylilo
Sylivanus Cylilo :
nakubaliana Na wewe
2026-11-08 09:11:08
1
alhilali_official
alhilali_official :
Nisawa mbona🙏
2026-11-08 07:54:25
1
muhdkipande27
Almando :
msingi umekula mifuko 100 😎
2026-11-08 11:56:08
1
pixel.world33
Pixel World :
vyumba 3 sas adi nyumba iishe c m100+ heri nijenge ya Rosheni Moja ya room 4 😅
2026-11-08 11:44:33
0
big_j820
John Haule820 :
paa.inakuaje 11m tu.bati.izo kanunua wapi na mbao.izo
2026-11-07 22:33:22
1
ally.mtanga7
Ally Mtanga :
Kama ndio hivyo kujenga ni Kazi sana😂😂😂😂😂😂
2026-11-08 10:31:07
0
minah6539
minah :
sijengi
2026-11-08 12:42:19
1
denismoshi.pyc
memoo.py :
msingi wa mawe au? kwanini milion 10?
2026-11-08 06:34:08
1
msuyabugatti
MSUYA BUGATTI :
msingi 10m? kiwanja kilikuwa bondeni?
2026-11-08 09:16:33
1
raynessmassawe
Reness :
Yes ni kweli
2026-11-08 07:52:01
1
billyblanks27
12:00🇵🇷 :
Mpaka hapo hapo kwenye bati hela ni ndogo hiyo.. kwenye msingi hela ni kubwa hiyo..
2026-11-08 06:32:35
2
goodluckmoshi986
GMoshi :
msingi umeenda chini urefu wa boma🤣🤣🤣 mmmmmh😁
2026-11-08 05:16:20
2
12z095
Familia :
Acha bas
2026-11-07 19:12:36
1
streetgames_1
Street Games🎮 :
Msingi tuu 10M 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-11-07 21:34:26
1
To see more videos from user @newblockcity_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About