Kwa upande wangu nakubali sana japo wapo kijijini ila nimependa badala ya kuwabeza ila tuwape moyo,Kwa sababu wamependa qaswida na wao wamependa,sauti nzuri ya muimbaji
2026-11-10 14:42:44
8
Really queen :
namsikiaaa tashtiti
2026-11-10 05:35:41
3
mbeguboe6 🌟 :
namuon blaza boy ktk besi apo
[Laugh approved][Tears of joy]
2026-11-10 05:52:47
0
MONSTER :
Hii ni maajabu
2026-11-10 04:40:24
2
Kaa tozzy :
kama nawew umeona sinia la Islaah tujuane
2026-11-10 11:22:28
3
Rashford mketo :
hiyo copy ya islaa
2026-11-10 04:51:25
0
balozi wa live :
bati la nn xx
2026-11-10 13:53:06
1
🌸💦It’s 🫧teemah🧸🦋 :
Ila uyuu mtingajii alovaa kanzu nyeupe mashallah 😊
2026-11-09 09:33:26
2
️RASHEED :
Heeee islaah wa wapi hawa😂
2026-11-10 15:00:28
1
Nahlat 💞❣️💕 :
mashallah Allah awaongoze mfike mbali kwa kumpenda rasuli hata wao walianza kama nyinyi wala msihofu kubezwa hata wengi wao walikopy na kupesty
2026-11-10 17:52:35
2
mbaija production :
🫡🫡🫡
2026-11-10 04:57:30
2
Rehema Mlema :
islaah Tanzania
2026-11-10 12:21:05
0
Zultainah :
leo nimecheka sana😂😂😂😂
2026-11-10 05:58:10
0
🌺🌺Lubna 🌺🌺 :
Samahn madrasa ipo wap
2026-11-09 23:19:06
0
Mr Romantic :
Hawa wapo wap?
2026-11-10 07:12:04
0
Saleem❤️🇹🇿 :
wapi madrasa hiii
2026-11-10 13:16:41
0
dee boe mc :
islaah ya wap hìì😁
2026-11-10 05:55:42
0
@BATTAH KHAN 🥰🥰 :
JAMAA anajua mashaallah 🔥🔥 Allah aliongoze DARSA lao❤️❤️islaah ya WATU credit hii ila mashaallah
2026-11-10 06:50:15
0
Don Seif bashraf :
dooohh hadi sinia
2026-11-10 10:29:19
0
waziri :
huu ugomvi kwa islah
2026-11-09 19:05:22
0
Zultainah :
mustafa weee😂😂😂
2026-11-10 05:57:05
0
hussain hajj :
Islaah Njoo mjisikie huku😹😹😹😹😹
2026-11-09 21:11:01
1
salmkhan :
kwaio iiii ni chekeche au Mimi ndo sijaekewa
2026-11-10 00:50:36
0
To see more videos from user @iblahimkibua437, please go to the Tikwm
homepage.