chapati kavu hiyo ugekuwa na chain yamaziwa na hiyo supu yapweza ugeinjoi sana
2026-11-08 10:47:35
0
saidindile998 :
watalaam wa afya siwanatuambia chapati ni atali Kwa afya sasa mbona Hadi simbwe wetu anakula . daaa Mimi ninashindwa kuelewa kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-08 04:24:17
0
Mr No One 🥃☠️👁️👁️🥃 :
Zimbwe JR.
TUNAKUPENDA SANAAAAAA🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰☝️☝️☝️🥰☝️☝️☝️☝️☝️☝️🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-08 06:57:46
1
MY LIFE :
yanga bingwa kwa kujaza familia nyumbani maana apa jamani nyinyi munaona je kwa hii supu😁😁😁😁😁😁
2026-11-08 06:34:47
1
prince hadhir khan :
oyaa zimbwee si pilipilii ioo kwenye supu😅
2026-11-08 12:01:19
0
bulogo :
jaman unattamanixh huko jmn
2026-11-08 10:41:25
0
jamal :
Maji machafu baadae sana,unaanza na chai ya rangi tangawizi nyingi sana
2026-11-08 10:58:09
0
khadijakamanyola :
wifietu anajua kupika mashaallah
2026-11-08 08:44:19
0
Chief Muholo :
safi sana beki ya mpira .
nachokukubali uko tofauti sana u r so proud with your wife safi sana.
Hata mm im so proud na mke wangu.
safi sana ndoa nzuri sana zimbwe
2026-11-08 07:46:21
0
Fetty :
yanga bingwa💚💚💚 zimbwe junior
2026-11-07 22:51:23
0
NISHA NISHA 🥰🥰 :
mashallah
2026-11-08 06:20:00
0
Esther Marco :
2026-11-07 21:11:09
1
IT'S MIMAH 🇹🇿🇴🇲 :
Mashaallah
2026-11-08 04:28:03
0
Nassoro mkima :
bhs imeishaa
2026-11-08 04:09:49
0
Rosemarry Apolinary :
uyu sio mchezaji wa yangu uyu
2026-11-08 12:06:40
0
New content 💦 :
utaharisha
2026-11-08 06:01:41
0
Sherrymyna :
2026-11-08 08:51:36
0
MY LIFE :
jamani mtakuwa mabingwa wa kujaza famili maana sio kwa iyo supu
2026-11-08 06:36:24
1
Saxy W :
Wamasai na nongwa na majina ya wa2😄
2026-11-08 08:05:02
0
To see more videos from user @perfumeworld.15, please go to the Tikwm
homepage.