@simu_link: KUWENI MAKINI NA HUYU MAMA🙌🙌🙏🙏#fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ #mwizi

simu_link
simu_link
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 20:08:21 GMT
29553
415
80
52

Music

Download

Comments

magrethiiddijuma
Magrethi idd i Juma :
mie nikijaribu kuiba natetemek mwili mzima hadi naghail😂😂
2026-11-08 04:33:38
29
mynarboss
Mynar💝 :
Mbona namjua mungu wangu
2026-11-07 22:39:50
7
sud.n.zah
sudzah💜🕌📿 :
yaan alikuwa hajaifungua mpk leo mmmh
2026-11-08 07:13:51
3
bamileck1
bamileck :
alafu lizuri lenyewe
2026-11-08 07:20:21
3
anordclassic255
Anord255 :
Muhhhh hzo n trends tu mnatengeneza
2026-11-08 06:43:06
0
annie_trendy_wear2
Ms Annie 💕💕 :
namjua ni mteja wangu wa nguo jamn
2026-11-08 07:53:26
0
user518481916
user1482844930965 :
Mbona mtu kabisa jamani nii dunia kila mtu anmitikasi yke 😂😂😂😂
2026-11-08 06:21:02
0
nellycious.kabuka
ℳ𝒾𝓈𝓈 𝒩ℯ𝓁𝓁𝓎𝒸𝒾ℴ𝓊𝓈❦︎🦋 :
mbona kama ni mwenye nyumba yangu😁😁
2026-11-07 22:30:07
0
vicent.assanal6
Vicent Assanal :
Mungu ni mwema sana niliamini siku moja ungempata tu hatimaye imekuwa
2026-11-08 08:52:12
1
peter.mziray
Peter Mziray :
mliimpeleka Polisi au?
2026-11-08 04:05:13
0
judith.mcknight0
Judith Mcknight :
Hiyo itakuwa ni ROHO IMEMVAA sasa basi msimhukumu. kuna maroho au mapepo wachafu yamemvaa. ila akiombewa hayo maroho yanaondoka.
2026-11-08 07:49:11
1
dada.wa.mfano
Dada Wa mfano🌺🍒 :
Sasa hapo mme wake atamwambiaje
2026-11-08 05:59:37
1
ommy_martial.tz
🆂🆃🅰🆅🅾20⚽️🎮🇹🇿 :
asamehew anafanykwa ajil ya watot wke t
2026-11-08 09:00:15
0
fardaty
fardaty :
Me sina ham nae 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-11-08 07:38:36
0
user990890480
Cynie :
Yan hata haendani🥺
2026-11-08 05:21:04
0
_twaleb_
_Twaleb🤍_ :
Dah jau
2026-11-07 21:14:21
0
fatuma87349
fatuma :
2026-11-08 03:59:56
0
annie_trendy_wear2
Ms Annie 💕💕 :
mbona namjua
2026-11-08 07:52:23
0
madam.anna2
BINT SAYUNI 🥰 :
ivi nguvu z kuiba vitu vya watu mnatoa wap jamn[Crying]
2026-11-08 07:02:16
0
dayn0535
Mziwanda :
Mmmh cm nazo bwana uwiii
2026-11-08 05:10:52
0
casto.tz5
Mashine tatu outfit :
Mteja wangu wa nguo mama weeee kumbe na mm niwe makini😅😅
2026-11-08 09:06:37
0
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
Ya Allah nakuombaa unipe nguvu ya kupambania wazazi wAng wapate vitu vilivyo vya halali [Pray]
2026-11-08 07:13:03
0
officialgracia03
Gracia xavery :
Mm jana nimezidishiwa tu pesa na wakala nimeirudisha maana sikuona umuhimu wa kuondoka nazo
2026-11-08 09:16:33
0
user1835148286635
user183514bbb Tom :
Nilijambaziii kweli kweliii
2026-11-08 05:53:36
0
reenperfumetabora
Reen perfume tabora :
daaah
2026-11-07 23:03:54
0
To see more videos from user @simu_link, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About