kuna mwaka tulifukuzwa bodi ya mkopo, sitakuja kusahau
2026-11-08 09:54:22
3
ThiagoRobin :
hili swala lingefanyika kwenye kila Halmashauri Nchi nzima, kufanyia dar bado sio msaada kabisa...
2026-11-08 08:35:31
5
M3GAN :
tupo mkuu🤣🤣🤣
2026-11-08 06:02:25
3
josephtesha00 :
kwani hili taifa la Tanzania linaendeshwa na mfumo gani mbona kilamtu nimtoa taarifa kwa wakati wake au ndyo tumeangamia
2026-11-08 09:58:40
1
Mr. Kombo💖💖💖 :
elewa neno Baadae
2026-11-08 09:07:44
1
micky mouse :
free Tundu lisu
2026-11-08 07:16:25
2
nzota jr. :
kwann wao helsb wasiwafate Wanafunzi kila chuo kusikiliza kero?
2026-11-08 09:20:05
1
Khan Smart Devices :
Mweshimiwa Kwani hamna matawi yenu kigoma mbona dar mbali ivyo
2026-11-08 09:25:17
1
Black wolf 🐺 :
tuje alf tukoxe tunaondoka naww nimechoka mm
2026-11-08 09:19:14
0
China 🇨🇳 :
😂😂
2026-11-08 09:48:09
1
meyden mugogo jr :
walio mbeya nao
2026-11-08 07:58:36
1
hassaramariamu :
ujumbe wako naona upo kisiasa,mwanachuo alieko mbali na dar apande gari aje?nauli hiyo anaitoa wapi?kula yake tu hapo chuoni ni ya kubahatisha ndo awe na hela ya Kuja huko?maana ya mifumo (tehama)ni nini?mnachekesha sana
2026-11-08 08:10:31
1
Tunga_ :
tulioko mbali
2026-11-08 07:08:53
1
pretty fa :
nitoke sumbawanga hadi dar nauli bei
2026-11-08 08:48:32
1
user406559518751 :
sasa nchi nzima ina dar peke yake kwana kama ni swala la msaada lisifanyike halimashauri zote za nchi
2026-11-08 09:45:51
0
user2302314716968 :
AI😂
2026-11-08 08:44:26
1
mti chuma :
kwani huyu ni waziri wa elimu siku hizi
2026-11-08 09:40:08
1
bigdaddy567 :
kwaiyo kwa maelezo hayo mtu atoke songea akope na nauli kuja kusikilizwa?
nakama amekosa vigeezo awe amechoma nauli?🤣🤣🤣
2026-11-08 08:42:37
1
happy 💃💃🎉🙏❤️ :
mmmmmhhh😳😳😳😏
2026-11-08 06:52:19
1
🧜♀️ 🧜♂️ :
@MR BADFACE 😳😳
2026-11-08 09:06:58
1
cecy_radiance :
🥰🥰🥰
2026-11-08 10:22:25
0
To see more videos from user @abinely.updates, please go to the Tikwm
homepage.