@user3097410381234u:

𝚊𝚖𝚘𝚜1999 𝙱𝚄𝚃𝙸𝙰𝙼𝙰
𝚊𝚖𝚘𝚜1999 𝙱𝚄𝚃𝙸𝙰𝙼𝙰
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 00:59:47 GMT
2296
52
8
6

Music

Download

Comments

musaabelymanyinyi
Musa Abely Manyinyi :
swali la 1,, Alie chora ramani ya dunia,, kiufupi nikwamba ramani hiyo aliiunda huku kwa mwandiko wake binafisi huku amekaa kwake wakati huo ameshiba, ili aje akufundishe kuwa ramani ya iko hivi,, swali la 2,, Alie tengeneza pesa, hakutegemea kulipwa chochote bali alitaka mwanadamu yeyote kuipata hiyo hela iwe kwataabu sana ndo mshahara wake yeye,, swali la 3,,Alie gundua shule yeye hakusoma kabisa bali alianzisha kuwafundisha watu anacho kitaka ili wamuelewe ndo kila mtu alie kuwa akitoka hapo wakawa anafundishana fundishana,,ili waweze kuelewana,, hatimae wakaanzisha mkusanyiko wa watu wengi kila sehemu,, badae wakaunda kitu kinaitwa elimu, na ndo wakaunda neno shule,, swali la 4,, Kwanzaa kabisa tambua kuwa kuna mwisho wa dunia kutakuwa na kiama cha ulimwengu,, wanadamu Watauga sana na miili yao haita zikwa bali ndege waangani ndo watakao kula na kubakia mifupa mitupu,, Je,, unaswali lingine???
2026-11-08 17:20:38
2
phili.achieng
phili Achieng :
kilimanjaro
2026-11-08 17:20:54
1
katoreganibeiyajioni
KATOREGANI BEI YA JIONI :
hakusimama sehemu kwa sababu ramani ya dunia ilikwepo kabla ya apo na ilichorwa kupitia maagalizo ya matukio ya.zamani
2026-11-08 17:05:00
1
mjinjamagesa
MJINJA TZ MJITA EXPRESS👮 :
alitakiwa alipwe mke
2026-11-08 10:57:03
1
mjinjamagesa
MJINJA TZ MJITA EXPRESS👮 :
alikuwa amesimama kwangu kichwani
2026-11-08 10:56:09
1
mjinjamagesa
MJINJA TZ MJITA EXPRESS👮 :
ata jizika mwenyewe tu 😂
2026-11-08 10:58:08
1
mjinjamagesa
MJINJA TZ MJITA EXPRESS👮 :
alisoma kitandani kwangu🤣🤣
2026-11-08 10:58:42
1
lenatusi.mwita
0670629748 :
[Like][Like][Like]
2026-11-08 10:20:25
1
To see more videos from user @user3097410381234u, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About