@muhimbili_taifa: Uwekezaji mkubwa wa wataalam na mitambo ya kisasa ya uchunguzi na matibabu uliofanywa na serikali katika Hospitali ya Taifa Muhimbili umeendelea kuthibitisha huduma za viwango vya kimataifa zinazotolewa na kuendelea kuwa tumaini kubwa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Dkt. Erick Mbuguje Bingwa Bobezi wa Tiba ya Radiolojia hospitali ya Taifa Muhimbili anaelezea moja ya mtambo wa kisasa ujulikao kama Angie Suite aambao una uwezo mkubwa wa kutambua maradhi na kutoa tiba kwa teknolojia yanhali ya juu bila kufanya upasuaji. #afya #muhimbili #fypシ #foryoupage