@alex.thomas2007: #Hata Ukiikarabati Haito Kuwa Yako 🫵🫵✅

THE GOLDEN EAGLE 🦅
THE GOLDEN EAGLE 🦅
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 04:34:37 GMT
6695
292
15
4

Music

Download

Comments

user654133295099
star ✨ boy :
kwann wakuu mbna mimi nakarabati sana 😳
2026-11-08 08:10:33
1
neemasanga543
Neema Sanga :
mama house alisema hiyo Kodi usitume niweke shata kwa madirisha nikamwambia nakutumia fundi mtafute mwenyewe naijua hiyo 🤣🤣🤣
2026-11-08 07:47:48
1
ma.li9740
ma li⁰9 :
yaaa. siwezi
2026-11-08 07:30:01
1
hilarious5552
HILARIOUS :
imenikuta hii tena ni sasa hivi tu... dah
2026-11-08 04:46:20
1
james.gaspal2
James Gaspal :
nakupata mkuu
2026-11-08 04:52:08
1
ck.badex1
ADVENTURE ZONE MARA :
nimekuelewa Tena kwa HERUFI KUBWA
2026-11-08 08:52:14
0
fulgence153
fulgence153 :
daaah mbona imenigusa
2026-11-08 09:26:08
0
mudathiru14
MUDATHIRU :
kuna watu wataelewa ni nyumba[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-08 09:15:22
0
tobbyarusha
Tobby Arusha :
usihudumie mwanamke ambae hujamwona ndo alicho maanisha
2026-11-08 08:21:39
1
frankmtweveggg
frank :
kunawatu nimabwege kweli et wanajua nyumba zakupanga wanazoishi
2026-11-08 09:11:21
0
shayzat_brands
rich dada :
yaaan enz hizo nilikuwa swez huo ujinga
2026-11-08 08:30:01
0
user95345527098008
sirgent Paul ke :
najua sio nyumba unaongelea 😂😂😂😂
2026-11-08 07:22:22
0
cheebou__banks
cheebou__Banks :
@Brie_BBB❤️💅🏾code hyo😂😂
2026-11-08 08:08:46
1
To see more videos from user @alex.thomas2007, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About