@uniguidetz: Wanafunzi wa vyuo waliokosa mikopo wafike Viwanja vya Posta Kijitonyama Novemba 14 2026.

UNI GUIDE TZ🎓
UNI GUIDE TZ🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 04:38:10 GMT
49235
1197
54
358

Music

Download

Comments

sharonjosephbenja
xharooo jb.🇹🇿tz :
na ambao wako mikoanii inakuaje[Kicheko cha Furaha]
2026-11-08 09:48:51
3
investor9110
cady101 :
Kwan hao Wakurugenzi hawawezi fika Vyuoni? Unajua vyuo viko kijitonyama tu pekee
2026-11-08 06:14:02
14
helena.minde
Helena Minde :
sasa walioko mikoani itakuwaje
2026-11-08 19:06:19
1
benscana
Chelle😂 :
tulio mbalii[Embarrassed]
2026-11-08 04:43:39
3
user6698619695455
nami 2026 :
me ninaomba mtume wajumbe wenu kila mkoa ili wasinauwezo wa kufika huko pia wapate kusaidika
2026-11-08 07:23:30
4
toni.gasper.ngate
venerantTony :
kunawatu wapo mikoani hawawez kufika huko watu kama hao mnawasaidiaje?.
2026-11-08 05:50:52
4
user8820202203001
Haseda fx :
kwasisi tulio home ata chuo atujaomba
2026-11-08 19:07:51
1
user7655634146269
kg- Master 001 :
Jalibuni kutumia njia ambayo itawanufaisha wanafunzi wote wengi wako mikoani.
2026-11-08 07:39:06
3
user6014881520333
brigety little :
waliopo mikoani je
2026-11-08 05:45:12
3
dajeezy6
dajeezy@.... :
Sas kama technical error vp kuhusu ambao akaunt zetu zipo verification passed
2026-11-08 11:10:21
1
tungaraza_
Tunga_ :
je walioko mikoani
2026-11-08 07:40:31
1
user8313552079912
zashy :
me nateseka jmn mnipe mkopo
2026-11-08 06:15:27
1
joharllecxn
Joah de love♥️ :
ambao hawajaomba kabisa inaruhusiwa kwenda pia
2026-11-08 07:29:11
1
papumnyama
papuuu :
sasa wa mikoani tutafikaje
2026-11-08 06:43:31
1
ahmedkhamis692
Ajmaan auto glass :
Kwa nini wasitembeleee vyuoni au kila mkoa kwenye vyuo vikuu waliokosa mikopo wengine wapo nje ya dar yani wapo mikoani
2026-11-08 06:32:57
1
..pra22dia
...cute pie🌹🌹 :
kwan ni ish serious
2026-11-08 06:14:16
1
ador____7
Ador_7 :
GOD did it
2026-11-08 05:36:05
1
user84497831781
sis :
mungu akubariki
2026-11-08 05:51:44
1
its.mimer2
it's mimer :
tulipkuwa mikoani???
2026-11-08 05:25:14
7
shabani.abdala69
Shabani abdala :
wa dar au na wamikoani jeh
2026-11-08 05:21:01
1
witnesmnyamka
Tessie 🌺🌷 :
Na wamikoani tunakujaje huko
2026-11-08 18:17:20
0
hadija.omary650
Hadija Omary :
hawo ni waliopo Dar tu je waliopo mikoani mnawasaidiaje
2026-11-08 17:20:59
0
withvibenow
With Vibe Now :
je wa vyuo vya kati
2026-11-08 17:14:03
0
celinagumbu
celinagumbu :
je wanao maliza mwaka huu je itakuwaje
2026-11-08 16:54:36
0
ryene.official4
Rena😘😘 :
watatusaidiaje sasa jmn
2026-11-08 06:51:27
0
To see more videos from user @uniguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About