@unknownog31: PART 1 SAUTI YA MAMA JANET VIDEO NZIMA IPO YOUTUBE CHANEL YA DEO MASSAWE TV #SautiYaMamaJanet #JanethUrassa #DeoMassaweTV #Tanzania #Story

unknown
unknown
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 05:25:50 GMT
167646
8229
754
461

Music

Download

Comments

queeng32682
queen_lishe nuts🥰👌 :
yani mm niko na janeth had apewe talaka tulio pitia magumu kwenye ndoa tunaelewa hili
2026-11-08 06:14:01
1004
iamlilytz
1LilyTZ :
mama ni mama tu jmn😔
2026-11-08 06:10:52
614
qzler104
qzler104 :
tupeni talaka yetu bana
2026-11-08 06:18:39
310
estersimon875
Ester Simon875 :
jamani kwani taraka shi ngapi si apewe tu ... ndugu wa mume ni shida mimi team Janet
2026-11-08 06:28:48
261
queenlyimo0
queenlyimo_777🌹🦋Nsb :
ambao tumezidi kuogopa NDOA tujuane🤣
2026-11-08 09:32:11
157
mylight426
my light🐝 🇹🇿🌎 :
Watanga sio watu hat kwetu pia iyo imetokea
2026-11-08 06:17:08
238
nifertz
Nifasha collection :
Niko na wewe udugu wangu adi talaka yetu tupewe 😂😂😂
2026-11-08 06:18:04
223
goybap
GOYBAP :
love San mama Janet
2026-11-08 06:41:55
0
nither89
sweety pie❤️ :
freee janeth😒😩
2026-11-08 07:11:10
3
magadaughter0
✨ 🦋 ✨ :
All in all nipo upande wa janeth na tunatak taraka yetu
2026-11-08 09:33:44
54
babra282
Nancy Babs muiruri :
Red flag was all over the place.
2026-11-08 13:45:43
0
furahamatias860gmail.co0
Faith og Tz🇹🇿 :
jaman tunapo olewa tusiangalie mwanaume tu, tuangalie na familia ya mwanaume jaman😭😭
2026-11-08 12:53:01
37
empressgirl04
EMPRESS❤💫 :
free janeth
2026-11-08 13:59:45
0
nimaa.330
Nimaa beauty :
Nachoka mm
2026-11-08 16:47:06
0
rian.mam3
Rian mam :
helllo
2026-11-08 13:41:15
0
shakirabryan532
shakirabryan532 :
Heeeee
2026-11-08 15:49:03
0
rahelspear1
LIBRA BARBIE❤ :
mama🫂❤
2026-11-08 06:40:24
0
user8076366182676
mecy :
:JAMAANI ACHENI KUPOTOSHA MABINTI ZETU WAONE KUOLEWA KAMA HAKUFAI
2026-11-08 06:31:57
15
lilyone38
LILYONE💓 :
kuna mda tutalaum wazaz lakin sisi wenyew mabint ndio tunashida... wazaz wa mume hawawez kuwadharau upande mwingne bila sababu yoyote, mara nyingi tukiwa kwenye mahusiano na mtu unae mpenda huwa tunajisahau na kuanza kuzungumza madhaifu ya familia zetu... na shda ndo inaanzia hapo. binafsi sina wa kumuhukumu sabab yapo mazuri pia yalifanywa lakin huwa tunaangalia mabaya zaidi......
2026-11-08 06:51:02
5
user9967258476373
Romi2301 :
Tanga ni vyema waowane wenyewe kwa wenyewe
2026-11-08 13:15:18
51
jacklinetarimo62g
Jacky Pemba :
Hiyo familia ya mwanaume ni hatariiii😭😭
2026-11-08 05:59:28
90
victoriahcollection
victoriahcollection :
Jamani, acheni kuwapa watu maneno na kuwahukumu bila kujua ukweli wa mambo. Mateso aliyopitia huyu binti hakuna aliyekuwepo kuyashuhudia. Jamani, wanaume mnawajua, mnawasikia, lakini cha kushangaza wanaopaza midomo na kutoa hukumu ni wanawake wenzake. Tafadhali, tulieni. Kila mtu atakunywa alichokipika. Huyu binti amekonda kwa mateso, na hali yake inaonekana wazi kabisa. Bado mnadiriki kupaza midomo na kutoa maneno ya kuumiza? Subirini siku watoto wenu waolewe na wakutane na hali kama aliyopitia huyu binti, ndipo mtakapojua uchungu na moto wake. Msijifanye kana kwamba mlikuwepo ndani ya nyumba yao na mnajua kila kilichokuwa kikiendelea. Kabla ya kumhukumu mtu, kumbukeni kuwa hamjui vita aliyopigana kimya kimya. Acheni unafiki, acheni hukumu na muwe na utu. Mateso ya mtu si jambo la kufanyia majungu!
2026-11-08 10:58:05
30
anna.mchinaa
Mchinaa🌹🌹 :
watu wa tanga ndo walivyo wanataka waoane wao kwa wao mimi yalinikuta na ndugu wakikuchukia mwanaume anakaa upande wao
2026-11-08 06:32:31
11
hildatairo827
Hilda Tairo :
Nimekupenda mama Mimi yaliyo nikuta mama yangu alikuwa upande wa mwanaume kisa ni mpole 🤣🤣🤣🤣
2026-11-08 06:51:40
46
_.dermrhin
DermRhin :
Marriage is a scam 😎
2026-11-08 06:25:30
62
To see more videos from user @unknownog31, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About