@kanikikipenzichawatu: hakika hii dunia imepita watu kama huyu shekhe Muhammad abiibakar mwanafunzi wa shekhe Muhammad ayubu tanga zama zake hakuna yeyote ktk watuflani waliweza hata kuinua sauti sasahivi wamebakia kufurahia misaba ya hawa watu

kaniki kipenzi chetu
kaniki kipenzi chetu
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 08 November 2026 06:05:10 GMT
3985
290
11
14

Music

Download

Comments

maalimndago12
maalim ndago :
maasha ALLAAH
2026-11-08 16:20:32
0
user5015577686179
Chiff Othman ابن Kuziwa :
يارب رحمه
2026-11-08 19:22:26
0
.0664139796
مغمب صالح سيف مجنغ0664139796 :
kipindi hiki mawahabi wengi walikimbia Tanga ilikua ya motooo
2026-11-08 11:52:17
1
somba1899
SOMBA بندار :
najibu maneno ya kwenye captions hata zama za mababu zetu hapakua na mtu alienyanyua sauti na kusema kua ni ukafiri kuabudu mizimu na miti mikubwa hadi hapo baadae uislamu ulipokuja na wafanya biashara wa kiarabu ndio watu wakaambiwa haki na kwa wingi wakaifuata na sisi kuzaliwa na kukuta babu zetu waliikubali haki yakua hakuna anapaswa kuelekezewa ibada isipokua ALLAH pekee, sehemu ya ushahidi hapo ni kua jambo haliwi haki kwakua tu ni lazamani zaidi kwenye hayo maeneo, tutakubaliana kua watu wa mwanzu kuleta uislamu afrika mashariki walikua ni masufi watu wa twarika na watu wate waliosilimu kipindi hicho uislamu wao ulikua kwa madh,habi ya waliowaletea uislam mpaka miaka ya 90 watu walipoaanza kwenda kusoma kwa wingi nchini Saudia ndio wakakutana na usalafi na kugundua baadhi ya makosa wanayoyasimamia mashekhe wa zamani, mfanonleo pawe na kisiwa hakijawahi kuujua uislam kisha wafike kwanza mashia huko na wasilimishe watu kisha wewe sufi ufike huko miaka 20 baadae utakuta mtu wa twarika au salafy huko?
2026-11-08 13:09:13
0
user3541126074115
Aysha💞 :
❤️❤️❤️
2026-11-08 07:07:30
0
To see more videos from user @kanikikipenzichawatu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About