@mohamedhafidh_tz: 🔐 WHATSAPP ACCOUNT SETTINGS: Unajua Meta inatumiaje taarifa zako? Katika video hii tunaendelea kuchunguza sehemu ya Your Information and Permissions ndani ya Meta Accounts Center. Nimekuonesha vipengele vilivyopo, hususan Activity from Other Businesses, kinachokuwezesha kusimamia namna Meta inavyotumia taarifa za shughuli zako kutoka kwenye apps, websites na biashara nyingine ili kuboresha maudhui unayooneshwa. 📌 Je, unajua unaweza kusimamia matumizi ya taarifa hizi? Tazama video ujifunze! #whatsapptips #metaaccountscenter #privacysettings #TechTips #mohamedhafidhtz