@hopebringer1968: WACH AUF! Nicht jede Stimme kommt von Gott! #WachAuf #PrüfeDieGeister #FalschePropheten

Hopebringer
Hopebringer
Open In TikTok:
Region: CH
Sunday 08 November 2026 06:11:55 GMT
231
11
4
1

Music

Download

Comments

linda.ge55
Линда :
❤️🙏❤️🙏
2026-11-08 18:15:23
1
user3117814221799
Brigitte Schmitt :
2026-11-08 16:42:18
0
user88948897petraphillip
user889488. Shanti :
🙏🙏🙏
2026-11-08 08:33:11
0
kerstinweidhaas
Kerstin Weidhaas :
[Freudentränen][Freudentränen][Freudentränen]
2026-11-08 11:52:07
0
To see more videos from user @hopebringer1968, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mithali 16:33 Mstari huu unaozungumzia kura iliyopigwa na matokeo yake kuwa chini ya mamlaka ya Mungu. Katika tafsiri ya TPT, lugha ya sarafu na kete inasisitiza tofauti kati ya kile tunachokiita bahati na kile kilicho ndani ya mapenzi ya Mungu. Kurusha sarafu ni mfano wa hali ambayo mtu anahitaji kufanya uamuzi lakini hajui matokeo yatakuwaje. Unaweza kuanzisha biashara bila kuwa na uhakika kama itafanikiwa. Unaweza kuingia kwenye mahusiano ukiamini yatadumu, lakini hujui kesho italeta nini. Unaweza kuomba kazi, kufanya interview vizuri, lakini usijue kama utachaguliwa. Unaweza kuwa na malengo makubwa, lakini usijifunge kihisia na njia moja tu ya kuyafikia. Fanya kazi, jifunze, rekebisha makosa na uwe tayari kubadilisha mkakati pale inapohitajika. Huwezi kuhakikisha kila trade inapata faida au kila biashara inafanikiwa. Lakini unaweza kujenga mfumo, kulinda mtaji, kufanya maamuzi yenye ushahidi na kukubali matokeo bila kuongozwa na tamaa au hofu. Kwenye mahusiano Unaweza kumpenda mtu, kuwa mwaminifu na kujitahidi kujenga mahusiano mazuri. Lakini huwezi kudhibiti moyo, maamuzi na tabia za mtu mwingine. Fanya sehemu yako kwa uaminifu, bila kujifanya kwamba unaweza kudhibiti kila matokeo.  Na muhimu zaidi, Jifunze kumwamini Mungu hata wakati majibu hayaji kwa wakati unaoutarajia. Imani si kuwa na uhakika wa kila matokeo, ni kuendelea kuwa mwaminifu hata unapokosa majibu ya maswali yako yote. Usiache kufanya kazi kwa sababu unamwamini Mungu. Fanya kazi huku ukimwamini Mungu. Usiacha kupanga kwa sababu hujui kesho. Panga kwa hekima, huku ukikubali kwamba huwezi kudhibiti kila kitu. KESHO TENA. AGAIN AND AGAIN…..

About