@millardayo_: Msanii Mkongwe wa muziki kutoka Nigeria, 2Face Idibia maarufu pia kama 2Baba, ametumbuiza mashabiki katika Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, lililofanyika kwenye viwanja vya Eden Highland Hotel Jijini Mbeya. Kabla ya kuanza shoo yake, 2Face alikaribishwa jukwaani na kundi la A List, linaloundwa na Jackline Wolper, Kajala na Aunt Ezekiel. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 06:33:30 GMT
49313
4473
57
16

Music

Download

Comments

og_mjukuu
Mjukuu :
Waislamu wenzangu tusiache swalaa..
2026-11-08 06:40:37
45
d_dinnah
MR_D✨ :
Sound haiko poah
2026-11-08 10:40:28
1
sharifa48m
Sharifa48 M :
mbeya ilikua.yamoto.bwana..acha.mbeya.iitwe.mbeya
2026-11-08 07:23:33
15
minzha27
minza kidoti💞💍 :
hivi kumbe 2face ni mtanzania 😁😁😁
2026-11-08 07:23:48
10
appearancemom2
mss A🍎 :
ko mbeya ni kijiji barikiwa millard
2026-11-08 09:59:51
1
jaqute_prodigy
Kyline🤎♋️ :
Ila kijiji 😂😂😂asante millard ✋
2026-11-08 06:39:08
5
sunset.cereals
Sunset :
Jana ilikuwa vibe sana
2026-11-08 07:35:13
7
missnuruh3
missnuruh3 :
Milard ayo tunaomba dar irudiwe please 🙏😩
2026-11-08 07:49:57
1
user9312508171267
miss.understand :
jamni mbn mkusema kama atakuja 😁 dah no one like him but not compare with my husband
2026-11-08 07:23:40
1
scholar.chaki
Scholar Chaki :
kazi nzuri
2026-11-08 08:21:54
2
glorypallangyo_
GULO🫧🌸 :
Kizunguuu mwanetu😂😂😂
2026-11-08 06:38:58
2
mom.g52
itz_. dat.gal :
Millard ayo Kwa Hali niliyokuwa nayo naomba nije unihoji juu ya mausiano yangu naisi watu watajifunza kitu😅
2026-11-08 06:40:08
5
allycleaningservice17
ally cleaning service :
nasikia love u na bint😂😂😂
2026-11-08 12:30:26
1
raiswagenzi
RAIS WA GEN Z :
African queen 🔥🔥🔥
2026-11-08 06:38:48
1
bahati.mayala1
Bahati Mayala :
🥰🥰𝓷𝓸𝓶𝓪 𝓼𝓪𝓷𝓪
2026-11-08 07:10:14
1
mose_touch
Dereva pro🇹🇿 :
kijiji kiko wp?
2026-11-08 06:48:05
1
miss.cornel5
~Cornel🦋💟 :
Ndo useme kijiji...sawa Milla
2026-11-08 12:30:43
0
davidmbwesa7
David :
2026-11-08 09:50:44
1
user45996752922990
_Msouth😁❤️ :
jna nmeanglia mpka saa 10 jmniii ☺️😂rhaa snaaa
2026-11-08 11:40:20
0
esther.martin03
M*m* T£ku🔐 :
jamani...hapo live...aseeeeee..kunawatu wanafukiwa sjui nann naniwat mhm kwel kwa mzik
2026-11-08 11:28:16
0
user78159247160150
FLORA BAYI :
wow
2026-11-08 16:45:17
0
officialjohnny90
Official Johnny @16 :
aliyefunga hii sound.(sound engineer) alihakikisha kila kitu kipo sawa kwer😂
2026-11-08 12:57:26
0
llllpp422
llllpp :
hakika
2026-11-08 15:38:16
0
maskavyo
Mas Kavyo 🔹️ :
ayaa
2026-11-08 17:57:01
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About