@majirani_wa_peponi: #majiraniwapeponi #0771018370

Majirani_wa_peponi🦋❤️
Majirani_wa_peponi🦋❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 06:36:49 GMT
21102
1440
202
25

Music

Download

Comments

27ilx
Jamal :
Quran imebidi imebaki kwa Lugha ya kiarabu kwa ajili ya preservation ya maneno ya Allah. ikiwa kila nchi wataitafsiri kwa Lugha yao matokeo yake yatakuja kuwa kama biblia , mfano biblia utakua wakatoliki wana injili yao , walutheri wana injili yao sasa how come na wakati injili ni moja tu aliyokuja nayo Isa AS
2026-11-08 06:50:20
10
jonathan.lubeleje1
Jonathan Lubeleje :
imeshuka au imeandikwa
2026-11-08 11:15:35
3
grand.marriott.en
Grand Marriott Enterprises :
hakuna lugha ngumu kuliko Lugha nyingine... hata hakuna lugha bora kuliko lugha nyingine
2026-11-08 09:07:56
16
baba.mlezi29
Baba mlezi🙏 :
ni nani mwandishi wa quran
2026-11-08 12:27:43
6
maty4095
maty :
kiarabu kimetokana na tamaduni za kiarabu
2026-11-08 13:04:04
7
4arlo5
*ar🦋🌸 :
Imeshuka kutoka wapi
2026-11-08 17:06:50
1
giftedsonm
Gifted :
Mtume alikua hajui kusoma wala kuandika je alijuaje mambo aliyo wasimulia waliyaandika kama alivyosema?
2026-11-08 17:50:01
1
lizzyemmy83
emmylizzy :
Eti imeshushwa
2026-11-09 17:49:56
0
evance1983
evancegilbert :
sidhani kama ni kweli hayo unayoingea....
2026-11-08 18:59:08
0
justicev0ice
Justivo29 :
Yaani kwamba ni lazima watoto wanaozaliwa uarabuni inabidi wasome kiarabu hili wakielewe???
2026-11-08 18:15:23
0
kipengere70
kipengere :
kiswahili cha darasani ni kigumu kuliko kiarabu
2026-11-09 15:33:32
0
user7135871954331
faby :
imeshushwa au imeandkwa apa apa dunian
2026-11-08 20:28:35
0
jacksoni75
jacksoni :
imeshuka au ime andikwa
2026-11-08 21:22:06
0
mvaaandrew
Mvaa Andrew :
Mimi Msambaa bado sijakifahamu
2026-11-08 14:31:44
0
254rashhtheplayer
Rashh the player :
bwana yesu asifiwe huku🙏
2026-11-10 19:39:13
1
eustackgaspal
usereustack1399497625283 :
sasa nauliza swali. kama neno moja lina naana zahidi ya moja utaijua vipi maana kama MUNGU alimaamisha hivi?
2026-11-08 17:14:00
0
cheupemanwhite
cheupemanwhite :
ishuke wapi pangoni.
2026-11-08 18:54:35
0
user8256591137400
user8256591137400 :
imeshuka kutoka wapi?
2026-11-08 19:17:38
0
denic.lyimo
Denic Lyimo :
imeshukaje wew
2026-11-08 11:05:17
0
bernardnicholaus
bernardnicholaus :
siyo kweli kabisa
2026-11-09 12:47:10
2
mr.mwakalindile
mr. mwakalindile jr :
ilishuka toka wapi
2026-11-08 12:57:05
1
user2902910054572
Patrick Mpondijaguar :
inaugumu gani
2026-11-08 21:25:40
1
andrewbazolo769
Andrew Bazolo :
Quran haijashuka, imeandikwa tu kwa kiarabu
2026-11-08 14:14:02
1
ousmane_von_bismarck0
ousmane von bismarck :
🥺sas mbona kuna watu wanasema ni nyepes
2026-11-08 07:05:31
0
mamamushka1
pixbae6 :
mimwenyewe mchaga nasijui kichaga itakuaje sasa
2026-11-08 14:26:28
0
To see more videos from user @majirani_wa_peponi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About