@mwangomile_: @last_born OYA WEWE MWENYE MIAKA 20 NA KITU… SIKILIZA HII! 🫵🏾 Jamii inakupa presha ya kufanikiwa, ndugu wanakuuliza umefikia wapi, marafiki zako wanaonekana wamefanikiwa, na wewe unaanza kujiona umechelewa! 💔 LAKINI NGOJA NIKUAMBIE KITU… 🧠 Maisha si mashindano ya nani atafika wa kwanza! ❤️ Usikimbilie ndoa kwa sababu wenzako wameoa. Usikimbilie mali kwa sababu wenzako wanazo. Na usijichukie kwa sababu bado hujafika unapotamani. 🥹 Miaka yako ya 20 ni ya kujijenga, kujifunza, kukosea na kujitafuta. PUMUA. TULIA. JIPE MUDA. 🫂 Maua hayachanui siku moja, lakini kila moja lina uzuri wake. 🌹 USIHARIBU KESHO YAKO KWA PRESHA YA LEO. 👑 — LASTBORN 🎭❤️ #Lastborn #MaishaYa20s #MotivationSwahili #UsikateTamaa #LifeLessons
Kitu cha kuzingatia ni vumilivu maan sio kila mtu atafanikiwa sawa na wale waliopataa mafanikiwa makubwa Ila kikubwa malengo na unawez kupata mafanikio hat ukiwa na miak 17 tatz ni malengo,uvumilivu na subra
2026-11-08 08:12:37
23
💫Dripboyedits🩸🔥💫✨ :
nilisubiri uliongelee hili tunapewa pressure sana😒😒🙌🙌
2026-11-08 07:53:11
17
Dismas Marley :
kwa heshima
2026-11-08 07:22:12
11
Tux cuting ö7 :
hii ndoo account ya last born officiall au
2026-11-09 12:00:09
5
melick msabinho :
Kaka presure inakuwa kubwa , hao ndo wanafanya vijana wasiokuwa na subira wanapitia njia zisizo Rasimi mwisho wasiku tunawakosa kaka,
2026-11-08 08:50:10
16
jazzie :
Real
2026-11-08 07:51:49
6
Michaeli isack :
nimeilewa kaka hii
2026-11-08 09:58:00
6
🇬 🇴 🇩 🇱 🇮 🇸 🇹 🇪 🇳 :
Dah kwl kaka
2026-11-08 07:56:56
5
Eric :
bonge la fact brother
2026-11-15 09:18:44
1
bugo_dee_lynz :
🤔big up brada 👐💧💧💧
2026-11-20 05:10:38
1
Alex Apolinary :
umeongea point broo big sana⭐
2026-11-23 11:25:22
1
🎮 Stans🌍 :
Daah ndio linalo nikuta saiz [Pleading]
2026-11-08 12:56:39
2
_𝙋.𝙅𝙐𝙉𝙄𝙊𝙍 ✨ :
kwa heshima
2026-11-08 07:13:56
6
🥷𝕮𝖔𝖒𝖇𝖆𝖙_𝕶𝖎𝖓𝖌❤️💙💚 :
duu Yani kweli mtupu yani wanatupa presha sana jau sana
2026-11-08 22:17:13
2
Itibari Said :
kaka baruza
2026-11-13 19:56:03
1
IJOKA NGOGWEZ CHAOS THEOREM :
Sahihi
2026-11-12 19:52:19
1
CEO WAYD BREL :
Awusssa
2026-11-12 18:18:15
1
🅶🌠🅽🧠 :
yeah appreciate Bro
2026-11-09 20:46:02
1
y square🫠 :
ila kweli kabisa man 🫡🫡🫡
2026-11-10 16:31:36
1
𝑵𝒊𝒄_𝑸𝒖𝒐𝒕𝒆𝒔_𝑶𝒓𝒈🔥🔥 :
kaka nimekuelewa
2026-11-14 06:51:16
1
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm
homepage.