hongera sana Boss wangu. nilikua karibu na ww muda mchache tu Kaskazini "A" ktk kukimbiza chombo nashkuru nilipata company na baraza zote kutoka kwako yaani ulikua boss rafiki na sikujutia hata sikumoja kuwa karbu na ww. Allah akufanyie wepec ktk maisha yako
2026-11-08 14:23:35
1
NURHIYA COLLECTION❤️😍💋 :
Jmn Naombaaa ndizi🥺
2026-11-08 12:40:11
0
Madudu Chaza Zanzibar :
mkuu wa wilaya bora wa muda wote Mungu azdi kukusimamia inshallah
2026-11-08 11:33:50
0
sayari :
Habari kiongozi nakutakia kila la kheri katika maisha yako nakukubali sana boss wangu
2026-11-08 10:37:15
3
Abdulla Shinen :
Msaraka nakuja kuchukua chana moja
2026-11-08 14:06:08
0
Hafidh Yah ! Coach :
uo ndio uongozi usitegemee watumishi kaka mh safi sana
2026-11-08 14:22:08
0
👻 :
asante boss nakukubali
2026-11-08 14:00:08
0
Ndolanga Rais :
asante mkuuuu
2026-11-08 14:22:21
0
Big_show :
ongera mno kiongozi,,wewe ni kiongozi wa kuingwa sana