Kitu inanipa kiburi ni kwamba sote tutakufa na usishangae ukaanza ukaniacha na wembamba wangu team wembamba clock iiiiiiiiittttttt👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻😂😂
2026-11-09 13:05:45
22
🦋Butterfly💕 :
inauma 😅😅
2026-11-11 05:21:31
1
miss happy :
Wembamba wanaonewa jamn😂😂
2026-11-09 16:08:12
1
Nana🤍 :
kembamba , keusi , miguu ya baba, nywele za babu, kucha za mjomba, yn nyie naumia jmn hd nasemg au mam aliniokotoga mahali nin ukute mim ni mkorea mweusi mtu unapigaje pasi mwenyew 😅😅
2026-11-09 10:04:08
6
🍂𝐌𝐚𝐫𝐢𝐚𝐦 𝐀𝐮𝐫𝐚 ⟡🥀 :
hii road kama ya njoro hvi
2026-11-10 11:05:01
0
H SHUI :
kwahy nifanyeje
2026-11-08 13:50:18
0
Revocatus dioclesrevocatus5@gm :
pale kichwa kubwa anapo ungana na Irene 😀😀
2026-11-09 07:39:39
5
🌸Official Pink🦋✨ :
20/20
2026-11-09 12:19:28
0
Theo The Sniper :
afu ukute mama ako anakusem kila siku ety Sijuiii nilikutoa Wap ww😅😅😅