@madebelidai: mawazo tu

Madebe Lidai
Madebe Lidai
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 08:36:16 GMT
22929
2490
117
35

Music

Download

Comments

user7418009415628
user7418009415628 :
bila Mungu hatutoboi kaka
2026-11-08 11:48:42
0
sharson2005
SHARSON brand🇹🇿 :
asalam alaykum kaka madebe
2026-11-08 09:04:47
1
army.j54
Army J :
Acha uongo bas kama tuna uhuru wa kukosoa mbona tunatekwa
2026-11-08 13:36:58
5
bakirihussen
Bakiri Hussen :
hatup xalam
2026-11-08 19:27:07
0
zabronimilenzo
Zabroni Milenzo :
madebe hii nchi tuzindishe maombi vinginevyo kiyama kitatukuta
2026-11-09 04:30:35
0
shaabanihadinanik
shaabanihadinanik :
mtazamo wangu mimi viboko virudishwe kwasa babu vina nafasi kubwa sana yaku mrudisha mtoto aliekua ana potea kimaadili
2026-11-09 04:18:53
0
user2267352016195
msabaha kashola :
ukitoa mtazamo moja kwa moja unapotea na watu wasio julikana kiufup Sasa ivi nchi inataka uangalie kwa macho tu ndio salama yako ila ukiwa na akili nchi hii unapotea . kwanza iyo haki ya kusema itoe tu maana hapa haki ya kusema imebaki Kenya tz mmmmmh niatali sanaa
2026-11-09 02:16:28
0
kidarikidaristope
hashimu parfume :
kaka tunaletewa maadili ya kizungu tunasahau asili yetu
2026-11-08 15:02:41
1
john.john.b.john
John john b John b :
mimi mwenyewe nitachangia siku tukifik 2030😳💯
2026-11-08 19:59:38
1
sauli.konde.tz
sauli konde tz :
masilahi kwa kila mtu ndicho chanzo cha kuvunja umoja na umoja ukivunjika maadili ndo kwisha na elimu yenyewe ndo chanzo cha wao kujitambua
2026-11-08 11:59:53
0
paschalmasanja713
Pascal 001 :
ntachagia 2030
2026-11-09 08:47:57
1
khamiss.karata
Khamiss karata :
Yan tunakoelekea ndio Atar zaidi
2026-11-08 11:28:44
0
ismailfimbo277
Fimbo Tv :
nilikuomba nafasi kwenye maigizo yako
2026-11-08 08:47:17
0
mancaster85
Mancaster :
Magufurii ametuacha pabaya sanaa ange subiri mpk hata 2030😔
2026-11-09 04:07:40
2
mangestephano
Mange Stephano :
hatuna usalama wowote zaidi ya kupotea
2026-11-08 13:03:07
0
chegaboystore20000
chegaboystore :
vazi letu sis ni kimasai madebe,
2026-11-08 08:45:52
0
user5101810254948
Jaychipo :
kaka tuchat.....🤣🤣🤣
2026-11-08 11:39:39
2
wwwabdulkhamisd
Abdul m❣️💞💕💖💘🥀🌹 :
hatwepona aisee ila tusiache kulinda migongo
2026-11-08 18:00:34
2
mussamatond
Mssa matondo255 :
namimi mtazamo wangu kama wako unao utazamia
2026-11-08 17:36:16
1
esty_de_icon0
Esty_de_icon :
atamm kaka mtzamo wang nabak nao tu nshachoka na aya mambo bna aah..😏
2026-11-08 18:24:41
1
wwakukaya
wwakukaya :
mtazamo wangu viboko virundi shuleni namtoto wajirani akikosea mrekebishe hata kwaviboko
2026-11-09 06:35:52
1
user5852861082676
mbarakamkoi :
nakuombakaka nanpendasana ilasina wakunishika mkono
2026-11-08 20:52:09
1
hamisinasirinjenga
HAMISI NASIRI NJENGA :
waambie UMOJAMOVIE wapunguze dharau tunapowaulizia kuhusu taratibu zao..
2026-11-08 10:44:16
0
msofetz1
MSOFE TZ :
umeongea vema lakini kuna jambo nataka ulifanyie kazi alafu utapata majibu ya hayo maswali.kwanza dunia ya enzi unazaliwa na hii ya sasa ni vitu tofauti. lakini niamini kaka siasa safi ikitumika hayo yoootee yatasimamiwa kwa weledi na hautaona hali ikiwa hivyo.kwa mfano kuna baadhi ya nchi shiria zao ziko wazi ukiharibu sehemu fulani unawajibishwa tena kwa haki kabsa. hapa kwetu siasa zetu nyingi ni cheupe chekundu ndo mana mambo mengi kama hayo yanaenda tofauti. filamu sio tatizo kubwa tatizo ni kasi ya utandawazi na namna inavyotumika. NB:CHANGANUA NI KWA NAMNA GANI SIASA INAINGIA KATIKA HILI UKIPATA MAJIBU BASI HAUTASHANGAA WALA KUJIULIZA NAMNA HAYA MAMBO YANAVYOENDA.
2026-11-08 11:50:09
0
jeremiendala.x
JÉRÉMIE NDALA X 🌎 :
mimi mtu wa kwanza congo
2026-11-08 08:39:59
0
To see more videos from user @madebelidai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About