@mohamedhafidh_tz: 📢 Simamia matangazo unayoonyeshwa na Meta! Umewahi kujiuliza kwa nini Facebook na Instagram zinakuonesha matangazo ya bidhaa au huduma fulani? 🤔 Katika video hii tunaingia kwenye Ad Preferences ndani ya Meta Accounts Center, ambapo utajifunza namna ya kuchunguza matangazo unayooneshwa, kuona watangazaji, kusimamia taarifa zinazotumika na kubadilisha mapendeleo ya matangazo. 📱 Jifunze zaidi ili uweze kuelewa na kusimamia vizuri matumizi yako ya mitandao ya Meta. #whatsapptips #adpreferences #metaaccountscenter #facebooktips #instagramtips

Mohamed Hafidh
Mohamed Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 09:31:21 GMT
1836
58
1
1

Music

Download

Comments

maulid.bakari89
Maulid Bakari :
embu maliza ile Add account bna uliishia njiani hatuaelewa kwenye whatssap
2026-11-08 10:08:59
0
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About