mbona kwanza uite atwoli mheshimiwa?? mheshimiwa WA nini??
2026-11-08 14:37:17
1
Steve :
harakisha bana
2026-11-08 15:00:59
2
strusolu :
Tutakujia pesa, tumpatie sifuna, sisi ni sifuna
2026-11-08 18:22:52
2
user769599822125 :
Arcaic reasoning
2026-11-08 15:47:51
0
Vickybullet :
wakati Ruto alisapoti Kikuyu alkw ametumwa na nani
2026-11-08 19:22:51
0
JAZZ#KUSINJIRU :
NA SISI NDIO SIFUNA THE 6TH
2026-11-08 18:53:24
1
gezo :
sifuna anataka kuharibu uongozi ya waluhya
2026-11-08 18:38:14
0
Ramzarndinyomikisi :
Hawa wazee wamekalia Baraka za wa luhya in other communities huwezi Ona the wazee condemning youths
2026-11-08 18:44:40
1
# Kenya NI yetu :
Wewe ongeya tuuu, tutakujia tuu
2026-11-08 13:45:50
2
@Odogwu Billionaire🇰🇪🇺🇸 :
Mudavadi na Wetangula tumewachia iyo 30% kuleni peke yenu ju mmesema amuhezi kula na walhuya ju wakupigia Ruto kura, Hila walhuya wanauliza wajaluo wanapata maendeleo kwa hii serikali je walipigia Ruto kura? Ama kenya mzima walhuya peke yao ndio wafai kupata maendeleo kwa hii serikali ju wakupigia Ruto kura?
2026-11-08 13:46:57
2
Freddy kul :
wakusikiza huyu walikufa
2026-11-08 15:03:17
1
Dr. Wisdom Riverz :
Atwoli ni 78yrs na bado hajatumwa lakini Sifuna 44yrs na ashaa tumwa na Mungu
2026-11-08 17:08:03
0
kigogo :
wewe umetumwa na nani.......workers haven't sent you...
2026-11-08 17:05:21
1
Mamati Patisi :
Wewe ongea tu lakini kwa Sifuna hatumbanduki tuko hapo hapo na sisi ndio Sifuna.
2026-11-08 18:31:48
0
M KOPA :
tukutane uko Mzee Sisi ndio sifuna
2026-11-08 19:16:49
0
BLESSED AA :
This is a fossil
2026-11-08 18:46:48
0
Caleb Ke :
Wazee wengine wanasinya. Huyo mimi ningekuwa na uwezo ningefute yeye kazi
2026-11-08 18:58:26
0
boss001 🇰🇪 moja :
wewe umekosea sana...atwoli sio mweshimiwa...
2026-11-08 18:49:44
0
Attitude of Gratitude :
😂😂😂😂😂😂😂baaaaaasi
2026-11-08 18:29:37
0
SMACK K :
umestuka sasa😂😂😂😂😂
2026-11-08 18:27:10
0
The _Wolf :
Vile wewe umetumwa na Ruto, Sifuna sisi tumemtuma.
2026-11-08 17:29:05
0
Sammy Kamundi :
si MTU akizeeka ndio anashindwa kuoga??
2026-11-08 17:35:48
0
Sunguti :
following bka
2026-11-08 19:32:22
0
patrick :
na wewe umetumwa na nani
2026-11-08 15:51:18
0
To see more videos from user @cambpell68, please go to the Tikwm
homepage.