@machumuessaba: Constantine alitoa eneo na majengo ya Lateran kwa matumizi ya Kanisa. Hapo ndipo lilipojengwa na kuendelezwa Kanisa la Mtakatifu Yohane wa Lateran (St. John Lateran). Eneo hilo likawa makazi ya Askofu wa Roma, ambaye baadaye alijulikana kama Papa. Taarifa ya kihistoria ya Basilica yenyewe inaeleza kuhusu mchango wa Constantine katika kuanzisha kituo hicho cha Kanisa