@pascal_mushi12: Je na wewe unaongeza Soy sauce kwenye Pilau pamoja na Tomato paste😎? Au unatumia siri gani? #Chefpascal #Pilau #Spices #recipesoftiktok #Cheflife

Pascal's Kitchen
Pascal's Kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 10:21:25 GMT
61866
2565
56
282

Music

Download

Comments

mhoja1508
💋 MHOJA 🥰✍️ :
East Africa Mashariki🫣🫣🫣
2026-11-08 11:56:42
1
marymike844
MaryMike :
Asante Chef na carrots inawekwa wakati gani? Asante
2026-11-08 10:44:18
14
lizzyzack
lizzyzack :
Umeliona pilau langu ww[Tears of joy]
2026-11-08 10:48:10
8
thumer.designer
Thumer designer :
nakufatilia mpaka mume wangu aache kula hotelini
2026-11-08 11:59:28
4
lilo_konga
Kong'a :
fanya ya biriani next
2026-11-08 11:43:37
3
laurinemarshah001
Laurine mashah :
Thanks chef
2026-11-08 11:38:04
0
human9071
HUMAN :
pikeni pilau ya kiswahili , very simple uzile , karafu, star, ndimu kavu umetisha
2026-11-08 11:22:54
5
dullahkombo0
akilikumkichwa :
Oya naomba niulize swali nje ya hili Hivi ukitaka mayai yasiwe na harufu yake ile unatakiwa kutumia viungo gani kukata harufu?
2026-11-08 10:56:15
1
violeththeophilo
violeththeophilo :
asante kwa eimu naomaba sikunyingine tufundishe tofauti kati ya soysos ostasoy
2026-11-08 11:40:00
1
kariakoovipodozi
Kariakoovipodozi :
Waje niwauziee pilau masala ina mpaka black cardamon👌 6000 tu
2026-11-08 11:05:43
2
jikonikwamamaswaumu
jikonikwamamaswaumu :
kwa maelezo tu nimeshiba pilau la east africa mashariki😁
2026-11-08 11:22:40
1
wema.molato
sweet mangi :
kwel pilau supu
2026-11-08 11:57:55
1
user5837728133396
Muadhin_7 :
hapo magogo umeua
2026-11-08 10:27:51
2
eliasthadei
mnachii ....💫 :
kaka cumin sio jira ni UZILE
2026-11-08 10:42:25
0
nxrq2005
✨️نصرى✨️ :
pilau bila nyama haina ladha
2026-11-08 12:05:31
0
julyamerco
jully :
kweri kbs
2026-11-08 12:08:45
0
igokinyaga958
irene :
na biriani
2026-11-08 12:07:25
0
user7776699749474
beautiful emmy :
magogo😂😂
2026-11-08 11:56:47
0
_everything.nice
Jackie :
herbs specifically Ni Gani tunatumia? dhania Na Nini zingine
2026-11-08 12:15:20
0
tandi099
tandi🌺 :
siri yangu ni soy sauce
2026-11-08 12:17:38
0
jessymugz
The beloved Jess :
spiec herbs
2026-11-08 11:56:31
0
hajraaaaa.t
hajraah :
2026-11-08 11:54:44
0
veronica.maganga
it's dada veey❤️ :
naomba tufanyie na ya biriani🙏
2026-11-08 11:53:56
0
ashura.kasiba
Beyrah :
nilisema mie pilau alitiwi manjano
2026-11-08 11:37:15
0
mteule.2.barack
𝒎𝒕𝒆𝒖𝒍𝒆 𝒃𝒂𝒓𝒂𝒄𝒌 :
𝒌𝒂𝒌𝒂 𝒏𝒊𝒑𝒆𝒌𝒂𝒛𝒊 𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂
2026-11-08 10:24:45
0
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About