Sana wallah ilaa ..usimpende sana mwanaume ukasahau kujipenda mwenyewe hii movie inafundisha mambo mengi sana ..Uche alifanya kila kitu kumpa furaha mwanaume ambae hajal kuhusu chozi lake yani kama kuna kitu kimeniuma ni uche kutoa kadi ya benki wanawake hatunaga hela kwanini ajilipie mahali 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 hii kuishi kwenye ndoa za mateso tukiamini kuna siku atabadilika nayo mbayaaa sana mwanaume atakudharau hadi mwisho akiamini unampenda huwezi ondoka 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻ila mwisho nimependa uche kamrudishia dharau zotee Chima kwa kiwango cha juu 😁😁😁
2026-11-08 13:49:56
5
Mis naiffah :
inaitwaje hii move
2026-11-08 17:04:58
1
🦋 ♥︎ Y.U.R.I.I. ♥︎🦋 :
Hii ni movie nzuri lakini sasa 😏 ambao hawajaingia kwenye ndoa itawafanya wawaze tena kuingia kwenye ndoa wallah 😢
2026-11-08 15:38:25
3
luv~¥u💕 :
jina la movie ni gani
2026-11-08 11:11:44
2
Connie🍧 :
Hii movie imeniliza jana kama mjinga🥺
2026-11-08 10:59:31
4
@elina :
ili li uche linajua jamn
2026-11-09 03:58:38
0
miss marry :
kweli kabisaa🙏🙏
2026-11-08 19:16:04
1
Salmah :
Na huu ukubwa wangu nahitaji mama km huyu
2026-11-09 04:46:21
0
Angela😇💜💜💜 :
Mungu tusaidieee🙌🏻
2026-11-08 11:05:25
1
loveee :
ntampenda mama yang mpk siku ya kiama ee MUNGU nlindie kipenz chang mama mpk nimelia 🥰🥰
2026-11-08 12:36:22
1
Feydorls🦋 :
Acha awapende t watot wenyew yatima bab haelewek yan doh
2026-11-08 18:23:46
2
Ella Kancel :
🥰🥰🥰
2026-11-08 11:01:10
1
Binti@yusta :
@0699345044 I love my mom
2026-11-09 03:26:13
0
To see more videos from user @benawithuchemontana4, please go to the Tikwm
homepage.