@bbcnewsswahili: Serikali ya Burkina Faso chini ya utawala wa Rais Ibrahim Traoré imeanza kubadilisha namna historia ya Afrika inavyofundishwa shuleni, ikiondoa baadhi ya istilahi zinazohusishwa na ukoloni na kuingiza masomo mapya yanayosisitiza uzalendo na utambulisho wa Kiafrika. Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa hii #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #fypシ #elimu #ukoloni
bbcnewsswahili
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 10:51:12 GMT
Music
Download
Comments
Tiemat Lankoi. :
I wish I was a citizen of Burkina Faso 🥰🥰🥰
2026-11-08 12:24:43
75
mrpresida :
Kuna ccm inalazimisha tuiogope 😏
2026-11-08 11:50:11
209
jamilah :
lazima historia ya afrika ijulikane ipasavyo
2026-11-08 12:03:02
32
Briana :
bukinafaso Wamegomboka sana
2026-11-08 11:54:38
123
khamicyramadhani :
Daaah yaani Rais kama huyu Magufur angekuwepo jaman
2026-11-08 11:43:28
46
SULTAN :
alpha generation and the coming generation will be proud AFRICANS , maybe even Patriotic 🫠
2026-11-08 19:13:33
0
mahonda :
iyo ndio nchi ya kupeleka watt wakasome mm nimependa na walio penda km mm wa gonge kopa
2026-11-08 11:29:22
61
MSABATO MAGARI :
imagine huku kuna traole, huku magufuli afu huku Gaddafi 🔥🔥
2026-11-08 12:21:07
148
Hennah Ali :
👍👍👍👍👍👍 Traore forever living traore for life
2026-11-08 14:58:52
1
Muss Bushili :
Uwo ni ukombozi
2026-11-08 11:01:04
81
Wilson Mhoro :
more fire traole
2026-11-08 20:40:05
1
jackline Dzomb :
very good
2026-11-08 17:17:09
0
kiruwa :
true uvamizi
2026-11-08 11:12:02
25
Makueth Sanda Calisto🇸🇸 :
najua hii haifirahishi Watu wa Ulaya na watu wa BBC
2026-11-08 12:17:59
62
303 :
lengo kuu kuzalisha vijana wengi kama yeye
2026-11-08 10:56:09
32
ناصر :
Mwamba💪
2026-11-08 11:49:18
0
laswayjr :
Ni vema haya mabadiliko yakatumika Africa nzima
2026-11-08 12:30:26
15
اسماء لحسنا يا لطيف :
i liked it
2026-11-08 14:30:04
1
Julius Mwita :
nzuri hyo raisi wa africa huyo
2026-11-08 12:02:21
35
Imraan_4real :
dahh jamaa anajua san kuwakomboa waafrik
2026-11-08 10:58:36
19
Sedric🤴🏾 :
how to become a Burkinabe 😧
2026-11-08 11:52:08
11
mr vill :
100% correct
2026-11-08 10:55:09
12
horney badger :
somo la historia lifutwe, tuwekeze huo muda kwenye elimu ya ufundi na kujitegemea
2026-11-08 15:29:11
9
Lincoln skater🇰🇪🇰🇪🛼 :
kwani sijui kiswahili😂. Nafloat kwelikweli
2026-11-08 13:12:46
7
BEA SIMBA :
one love 💞
2026-11-08 11:31:13
6
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.