@leonard.jonathan7:

Leonard Jonathan
Leonard Jonathan
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 11:55:24 GMT
60489
3051
181
173

Music

Download

Comments

brudacalan
Bruda Wakala :
Usikute Lisu ndo sheria mwenyewe
2026-11-08 16:53:46
45
user7598279981259
Black Mamba :
nikweli kaka lisu anaakili sana
2026-11-08 15:16:44
44
aneth.antony
Aneth mwangake :
natamani kama angekuwa ndo raisi wetu tungekuwa tumepata raisi Bora sana
2026-11-08 18:29:22
40
micajunia
micajunia :
katuga Kanye close almwambia jbu ndio au hapana, Lisu skufundishwa multiple nimefundishwa critical thnking
2026-11-08 13:41:51
22
thehardtruth.tv
The hard truth :
umesema kweli kesi hii imenivuna niko upande wa lissu
2026-11-08 17:49:31
19
linus.john37
linus john :
pasi na shaka uwezo mkubwa saaana
2026-11-08 13:05:01
17
deusimorisi
deusimorisi :
jamaa alipangua mawakili wote ukweli mimi nilidhani ananyongwa akawaambia maeakili wake kaeni pembeni napambana mwenyewe daah aisee
2026-11-09 05:27:55
6
mwinyi.mohamed0
Mwinyi Mohamed :
beyond reasonable doubt...
2026-11-09 16:47:12
0
trezzly2025
Trezzly :
Lissu ni Mpango wa Mungu. hakuna ataeweza mzuia kuiongoza na kuikomboa Tanzania
2026-11-08 18:37:24
7
geofrey.gms
Rwechu :
Adi mimi nimekukubali upo sahihi keep going
2026-11-08 21:38:09
9
user8758424213659
user8758424213659 :
very good brother
2026-11-09 06:57:06
0
edsonmasam
Eddy Mass :
Na Hapo alikuwa na Msiba....
2026-11-08 16:34:49
12
shabaninduye1
shabani nduye :
jamaa umeongea point sana
2026-11-08 18:12:16
11
viridianamassay
Viridiana Massay :
hongera na ww kaka kwakuona nguvu ya ki Mungu ndani yake.
2026-11-08 21:49:55
2
user3760962747307
user3760962747307 :
Professor Muhongo ana akili nyingi sana bro lkn ameshindwa kuisaidia serikali yetu, JK alimtoa Marekan ili aje aisaidie nch yetu lkn akaharibu, haya Magu nae akaja akamwamin tena lkn bado akaharibu tena. So sio wote kaka,,..
2026-11-08 17:30:07
3
user0783582442
Biro :
yani Ih clip nime rudia zaidi ya mara4 nime gundua pia uyu mjomba anayo akili sana yani kutambua ki2 kama kina ubora au mtu ana uwezo fulani pia wewe unayo gundua una akili nyingi sana na ipo chap kiutambuzi ✊
2026-11-09 00:59:54
5
wilderomegarasta
george wallace ageye :
lisu ni mwalimu wa sheria ukimuuliza swali anakufundisha kwanza then anakujibu
2026-11-08 17:21:18
9
salvason4
Salva Son :
kweli mjomba yuko vizuri sana🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-08 15:49:26
6
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Upo sahihi baba Lisu ana akili sana na mungu kambariki kuwa na uelewa zaid🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-08 17:44:10
7
veronica.elias37
Veronica Shabani :
Me nataman awe rais
2026-11-09 08:07:23
0
ismailomar6105
🔵 Ismail Care TZ ✔️ :
Ile akili ni kubwa aise[Thinking]
2026-11-09 02:51:25
3
user4442748124120
Philip Raymond :
kile ni kipawa
2026-11-09 04:27:42
3
nellykununu
mjumbe mkuu :
kwani huyu jamaa anaitwa nani
2026-11-09 05:03:44
2
filibetimbogo
Filibeti Mbogo :
mungu amrinde iri atoke watu wanaweka mikataba ya ajabu utazani akuna wanasheria wenyeakiri kaa risu
2026-11-09 05:46:17
2
dogomani94
dogomani🔰 :
big up brother kwa uchambuzi wako nchi yetu ina shida sana haijali maslahi ya watu wao wachini inajali maslahi yao na familia zao tu
2026-11-09 08:33:54
1
To see more videos from user @leonard.jonathan7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About