@lutystar3: KILIO CHANGU Part 112 @bjptechnologies ❤️ Je, inawezekana mwanaume akakupenda kiasi cha kutaka kukutambulisha kwa wazazi wake bila hata wewe kumuomba? Sami ameamua kumuonyesha Enjo kwamba safari hii hayupo kwa ajili ya kucheza na hisia zake. Kutoka matembezi ya kimapenzi, zawadi, beach hadi ombi la kukutana na wazazi wake! 😍 Lakini je, Enjo yuko tayari kuanza ukurasa mpya wa maisha yake? 🔥 Unadhani Sami ana nia ya dhati au bado Enjo anatakiwa kuwa makini? #creatorsearchinsights #plottwiststhatkeepviewersin #lutystar #storytime #viralreels
Lutystar
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 12:14:21 GMT
Music
Download
Comments
✨ Scorpio 🫶💖 :
Nadia bado ana hasira ju ya hug surely 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-08 12:23:27
9
Little Heroin 💪 :
lutystar usimuumize angel please 🥺🥺
2026-11-08 12:53:16
2
Tiffah :
naomba enjooo aumizwee tenaa Yani mpak mwisho naomba azalishweww tenaa iwe funzo kwa wale wate wanaoenda chuo nakutusahau naomba iwe hivyo 💔
2026-11-08 12:43:35
5
leah Samson :
Evans kazi yako tumeiona baba😂😂
2026-11-08 13:19:54
3
Ukhut nasma 🦋🦋 :
First time to see this
2026-11-08 12:18:55
4
Baby loly🕊 :
Afadhali enjel yup na mahusiano nadia wangu atatuliya roho sas
2026-11-08 12:55:36
9
Scarlet :
ila Samy ni handsome hatari
2026-11-08 12:33:00
8
miss nan❤️ :
jamn. enjoy asiumizw ten
2026-11-08 12:55:15
3
MAMA SAM❤️🥰 :
🥰🥰 SAMI NA ENJO NAWAPENDA 🥰🥰🥰
2026-11-08 12:31:35
5
🥰💍shancecurrie🥰💍 :
kwahiyo angel na Sammy wamefanya au🥺😂
2026-11-08 13:58:55
0
Jayzd :
Naomba Enjo asiumizwe jaman
2026-11-08 12:22:53
10
maryam :
next part
2026-11-08 13:48:25
0
Diana nyituga :
new couple in town
2026-11-08 12:57:01
0
M❤️E❤️S❤️H :
Bro unafaa ata kuleta episode mbili kwa siku
2026-11-08 12:24:58
5
Mumy double e :
nadia huyo doriani ni kaka yako
2026-11-08 13:36:42
0
kombo familly 💕 💕 💕 :
engel anaendea kuenjoy Nadia anaendea kwamaumivu dah
2026-11-08 12:26:04
7
Chagga girl :
next please
2026-11-08 12:31:25
1
...... :
next
2026-11-08 12:26:57
1
Fey junior :
next
2026-11-08 13:30:00
1
king-kiba 👑👑🇨🇩 :
aposawa [Pray]
2026-11-08 12:26:55
1
it's mwanah :
ila, evance mi huwa hata simuelewag🤣🤣
2026-11-08 12:34:44
2
Viatory :
uvumilivu kama wa samy,.. mi ushanishindaaa😂😂😂
2026-11-08 13:48:49
1
zeynab :
nadia,doriani😘😘
2026-11-08 12:31:25
1
@ anifa masudi :
Suite
2026-11-08 12:24:54
1
sultan suleyman :
wa 3 leo
2026-11-08 12:19:45
1
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.