tayari mfumo umedukuliwa system compromised sever down
2026-11-08 13:43:57
81
Emaam_Saed :
Daah! watu mna roho mbaya mnamfila hadi Seba
2026-11-08 14:06:14
76
🦋✨Mrs-abdallah 🫶❤️ :
Hii mbona south aina Africa [Tears of joy]
2026-11-08 14:26:45
6
iman_the_boss💝 :
mbona kama Dodoma Haina zabibu 😂😂
2026-11-08 14:11:58
26
ALEX :
MWANZA HAINA MAWE TENA
2026-11-08 14:10:59
21
Gates-Genesiz furniture :
hii ndo misukosuko yenyewe
2026-11-08 12:49:55
27
BOI_LEE :
tuna red wanangu😢 turudi nyuma tu tucheze back 5😳
2026-11-08 13:00:20
25
Last born ✅️ :
hii ni maana halisi ya misukosuko
2026-11-08 14:24:35
10
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
BIBLIA HAINA ZABURI 150[Innocent]
2026-11-08 14:05:03
9
zullehaofficial :
nimekutetea sana ila nimeshindwa mwanasheria wak nikuwa nakutetea kwenye shuhur ulikuwa umelewa tu kumbe dah anyway mwanasheria wak nasafir kama unaweza kutafuta mwanasheria mwingine sawa
2026-11-08 14:42:37
3
it's_riah💋💦 :
mwaka hauna December 😂
2026-11-08 14:40:32
2
chifu manyota :
yaleo ao
2026-11-08 14:40:32
1
sam d :
kweli binadamu hawana jema wamemfanyaje uy
2026-11-08 15:03:50
0
j.a.m.m.i.e1 :
Mbona kama TANZA HAINA NIA
2026-11-08 14:26:02
6
Its Suzie💯☠️ :
Low battery shutdown
2026-11-08 14:24:08
1
Shaban Full :
breaking 🆕s
2026-11-08 14:23:26
1
user700427826259 gift jacob :
kwishaaaa
2026-11-08 14:41:29
1
fahdy :
good byyyyyyyyyy
2026-11-08 14:26:13
1
Jozeeh 🔥🔥🔥 :
Hapo mambo ni haya,,
2026-11-08 13:43:58
5
mcvin :
duh
2026-11-08 14:37:28
1
Ramadhan Kibure :
inna lillah
2026-11-08 14:29:32
1
wamipango J :
ANACHEKESHA KAMA SIO NDGU YAKO
2026-11-08 14:39:06
2
mousaoske :
yanga bila diarra
2026-11-08 14:29:57
1
Mwalukisa Rambo :
kuna kitu hakiko sawa naumia mimi jamani
2026-11-08 14:38:27
3
bahati kyando :
Duh dunia ipo mwishoni jamani
2026-11-08 14:26:21
1
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.