asikudanganye ukiwa ndani ya Yesu ni Raha ya ajabu isiyoelezeka
2026-11-09 03:11:44
856
Selpha Temba :
ruby kaokoka amen amen....
2026-11-09 11:02:50
1
mellisa :
sio kwa mawig hayo
2026-11-09 02:52:48
11
Therealkevootz7🇹🇿 :
alivookoka huyu dada kanifurahisha sana🙏🙏🙏
2026-11-09 03:21:37
515
אתה מבורך :
Yesu akikutafuta hata uende wapi utarudi tu
2026-11-09 04:49:22
348
Consuetudo Vitae :
ukifanya makosa na ukastuka kwenda mbela za MUNGU huu ni Utakatifu🙏🙏🙏
2026-11-09 04:05:05
257
✈️CHIOMA🦋 :
Mapenz yanaweza kukuvurunga mpk ukatamani uwe mchungaji to uhubili kila mahali🥺
2026-11-09 18:21:54
32
Display Gasper :
Natafuta mdada mwenye nywele ndefu hivyo nimuoe
2026-11-09 04:57:19
28
@cartalea :
Ee MUNGU nitoe katk hili giza mfalme nipe neema yakukutumikia kuish ktk uwepo wako 😭😢
2026-11-09 16:34:29
69
HSE Officer :
YESU YESU YESU umeshinda tena🫡
2026-11-09 03:43:42
167
zuenandauka127 :
i love this new version of ruby
2026-11-09 13:24:25
1
Mamy Chris :
mungu akutie nguvu dada 🙏🙏🙏
2026-11-08 19:33:45
66
hellen :
mimi jaman mbona uwa siwez uwa narudi magotini ila Tena naishia njian
2026-11-09 17:56:16
6
Linah Ibrahim :
Damu ya yesu inanena mema yy ndo Kila kitu kwenye maisha yetu
2026-11-09 05:12:37
62
Faraja George :
new born evangelist ruby♥️♥️♥️👌👌👌
2026-11-09 03:54:29
10
~Happipie~🦋🥰🤎 :
wanao muelewa huyu dada ni sisi ambao tumepitia mambo yaliyoturudisha Madhabahuni na kusema niliye naye ni Mungu tu🙏
2026-11-09 17:21:41
22
user961311185504 :
ukiwa nayesu Kila kitu kinawezekana
2026-11-09 05:43:21
20
R :
Mungu kama ana makusudi na wewe utafanya zambi zote uzimalize lakini wakati ukifika utaacha vyote na kumludia bwana Yesu
2026-11-09 05:14:10
20
Happyness Stephano :
hakuna kama yesu hapa duniani
2026-11-09 05:48:50
15
Magreth Mapunda :
huku ndo sehem sahihi dada mungu akubalikii san
2026-11-08 22:36:43
17
Estherlinah 🦋 :
Kutembea na YESU ni laha jmn tuzidi kukaza mwendo mbele kuna matunda ya uzima🥰
2026-11-09 08:15:09
10
sabby :
Big huge and God bless u
2026-11-08 20:23:17
22
toto!💋 :
hatimae maombi yangu yamejibiwa asante Mungu kwajili ya huyu dada nilikuwa naomba sana Mungu atoke huko alipo hatimae imetimia hakika utukufu ni kwa Mungu
2026-11-09 07:09:39
6
martha godson :
Mungu akikupenda ni raha sanaaaaa,
2026-11-09 10:56:55
11
Evelyne💚 :
hawa wasanii waoneni hivi wakiokoka wanakuwa hatari sana🥰
2026-11-09 06:43:43
7
To see more videos from user @gospel_updates, please go to the Tikwm
homepage.