@doktamathew1: Kama haunyi mavi namba 3 au 4 usipuuze,nenda kapime vipimo hivo mara moja Usisahau kupima H. Pylori🦠,dundumio ,FIGO,,mafuta ,sukari ,brusela . Haya matatizo ni balaa jipya mjini . #doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥
Doktamathew
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 13:45:50 GMT
Music
Download
Comments
che mropee :
mada zingine zakisng san
2026-11-08 19:57:29
25
Dr.Dre :
ila bongo ina wachambuzi mpk wa mavi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-08 20:39:55
5
oleseremon workshop :
Doctar wewe unakunya namba ngapi
2026-11-08 19:45:30
20
annakitundu@nzetu :
nimecheka Sana jmn mpka machozi😂😂
2026-11-08 20:09:05
7
David mwinuka :
ila doctor 🤣🤣🤣
2026-11-08 22:10:02
0
Callmehuu💦 :
Me nakunya namb 1 vikokoto
2026-11-08 20:55:10
1
Joseph Malidadi :
unikome Mimi Joseph nimefanya nini
2026-11-08 17:47:18
3
🍂Jojo🍂 :
Unamueshimu mtu vizuri ty 😁ila mtu mwenyewe sasa
2026-11-08 20:21:19
3
silimbwiga🇹🇿💞7@7@👣 :
Mimi apo nimeona namba yangu ni namba 1 kuna muda adi namba 6 sijui nakula mawe
2026-11-08 17:34:30
4
King Mwafifi 🤴 :
Mbona ninayo kunya mm hayapo apo😳
2026-11-08 20:35:02
1
mariakitawa033 :
jamani ww nimecheka sana uwiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-08 18:45:13
6
BA🦋NA🦋TY🦋 :
Heeeee😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-08 21:29:25
0
amina :
Toa suluhisho basi watu wanacheka bila majib
2026-11-08 18:33:03
1
Aryanah mom❤️ :
Nipo wapi huku😂
2026-11-08 21:37:08
0
S I O V I T U V Y A K O 👽👽 :
upo serios kabisa
2026-11-08 21:54:59
0
Muu_bebe :
Mimi kuna mda namba 1 na kun mda na pat namba 4 na kuna mda namba 3
2026-11-08 20:27:29
0
Mwambene Real Estate Co. Ltd :
Daktari Yuko Deep Sana 😂
2026-11-08 20:33:36
2
Plisk maiko :
mmmh jamani nakula yan mpk nimetapik
2026-11-08 18:32:43
1
Mwaj..🇹🇿🇶🇦🫶 :
mim 3
2026-11-08 20:10:27
0
Albert mboya :
2026-11-08 15:34:46
0
eriella240320 :
Sasa kwann mtu atite nmba moja ya mbuz 😂😂😂
2026-11-08 21:12:35
1
shirimaceline :
saiv nipo 7😂😂😂😂
2026-11-08 18:05:01
0
mauwa said :
😁😁😁😁😁 nimecheka sn adi jiran wamekuja alijua kunakilio cha msiba dah 😂
2026-11-08 18:26:17
1
💞MY LIFE 💞 :
nilikuwa nimekasirika lakin huyo doctor amejua kunichekesha
2026-11-08 17:33:13
0
To see more videos from user @doktamathew1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.