@molionlinetv: NANDY AJIZAWADIA NYUMBA YA KIFAHARI SIKU YA BIRTHDAY YAKE! 🏡🎂🔥 Zawadi ya birthday ya Nandy imekuwa ya kipekee! ❤️ Msanii huyo amefunguka kuwa amejizawadia nyumba katika mwaka wake wa kuzaliwa huku akimshukuru Mungu kwa kumwezesha kutimiza ndoto yake. Kupitia ujumbe wake, Nandy amesema mafanikio hayo si kwa nguvu wala akili zake, bali ni kwa kibali na rehema za Mungu. Pia amewashukuru mashabiki, vyombo vya habari, makampuni na timu yake ya usimamizi kwa kuwa sehemu ya safari yake ya mafanikio. Hongera Nandy! Je, hii ni moja ya zawadi kubwa zaidi za birthday kwa msanii wetu? 🥳 #Nandy #NandyBirthday #NandyHouse #BongoFleva #molionlinetv
Moli Online Tv
Region: FR
Sunday 08 November 2026 13:57:42 GMT
Music
Download
Comments
bahatimnyamani :
timu nandy tujuane
2026-11-08 15:40:41
131
~Aztrobuddy~♧ :
kisarawe 2 hio Nandy jiran yng Jan nimemuona
2026-11-08 16:01:39
12
_itssporah :
huyo ndo nandy mtu mmoja maendeleo kama yote🥰
2026-11-08 14:44:54
161
Agness L Mabus :
jeshi la mtu mmoja
2026-11-08 15:22:53
41
Kibegii24 :
the African princess
2026-11-08 17:00:03
0
young daughter :
huku kwetu ukijizawadia kiwanja cha laki tatu ,kesi yake Kwa mme NI ya kuvunja ndoa😂😂😂😂🙌🙌,
2026-11-08 15:33:07
31
Maby gal :
Hongera sana
2026-11-08 19:58:05
0
Nai🦋 :
Mmmmmmh
2026-11-08 20:51:42
0
jackline cakes🎂🎂 :
ebu ww acha kumpaisha hivyo ya kawaida tu
2026-11-08 16:35:54
6
mary textiles :
kuna mm najizawadia ugari na dagaa wa kigoma baba inatosha🤣🤣
2026-11-08 17:22:14
11
Shakira A. Banobi :
Dada Nandy forever🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-08 16:16:58
7
KING 👑 MOLLEL3💎💎💍💍 :
happy birthday 🎂
2026-11-08 18:50:34
0
Gnashy❤️ :
Wapare hatujaja kucheza mjini😅😅
2026-11-08 16:43:16
5
Faidha Omary :
hongera dada
2026-11-08 14:34:03
12
PQ :
Watamringanisha sana Nandy, ila Ngoja tuwaonyeshe kwa vitu sasa timi nandiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🥰🥰🥰
2026-11-08 18:25:25
2
IT'S MIMAH 🇹🇿🇴🇲 :
kazimaa zoteee kawasha mojaaa hayaa endelenii kushindanisha mashabikii tenaaa😅😅😅😅😅😅
2026-11-08 16:18:39
6
Boy From Africa :
najiuliza kila muda ni power gani behind nandy's success? haieleweki tz wa kuogopa mwa wake wote ni huu
2026-11-08 17:03:23
2
kush boy!! :
mtu anaepambana mpeni moyo zaid allah akuongezee zaid ya hyo sstr🥰🥰
2026-11-08 16:49:53
3
Doreth :
hongera
2026-11-08 17:37:20
1
recho paul :
nipo hapa Tim nandy
2026-11-08 17:20:23
2
Rabec :
mung akubark yule anae tak kujishindanish na wew akanunue na yey
2026-11-08 17:20:51
2
its rammy@ :
congrats nandy
2026-11-08 15:45:03
4
rose J🌹🌹💐 :
Yaan ajenge mwenyew alf iwe zwadi 😂😂 z
2026-11-08 17:50:16
0
Aminah :
nguvu ya mtu mmoja iyo
2026-11-08 15:56:04
4
Asha Majid :
hongera dada
2026-11-08 15:10:51
4
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.