@dr.jessy09: Hakikisha kila asubuhi unamchunguza mtoto wako#viral #foryoupage

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 14:32:13 GMT
116774
5340
172
97

Music

Download

Comments

agnesscharles462
Agness Charles :
Mtoto wangu anaweek 3 hajapata choo nilienda hospital dokta akasema nikawaida atapata
2026-11-12 09:30:13
0
ntibinona1
Ntibinona :
Docta me mwanangu anatokwa jasho sana kuwe na baridi, kuwe na joto yaani muda wote, je tatizo nn?
2026-11-11 22:18:39
2
aishakhalfaniissa
Aisha Khalfani issa :
ila doctor wew ni mzuri allah akupe afya njema na umri mrefu wenye manufaa katika Dunia na akhera ☺️☺️
2026-11-08 15:50:50
42
cutiechaina
chaina April Girl :
mm mwanangu anakua na joto sana
2026-11-12 10:08:09
0
angelbazile875
Angel Bazile :
naomba kujua mwisho kuzaa kwa uparesheni ni ngapi
2026-11-08 14:53:37
5
shamsa.baby
Shamsa Baby :
Mwanangu ana miezi 9 hajaota meno jmn hana jino ata limoja sina raha ni kawaida ao?
2026-11-11 23:11:51
0
0680232758jlove
mom J🥰😜 :
jamani Mimi mwanangu anakunya kinyesi Cha njano kilaini lkn sasa kinakuwa na kama kamasi shida huwa ni nn jmn naombeni mnisaidie
2026-11-08 18:26:19
5
amanaj.collection
AmaNaj Collection. :
Hivi doctar Jessy kunauwezekano wa mwanamke kujifungua kwa section C mtoto wakwanza then akajifungua kawaida watoto wengine...
2026-11-08 14:55:35
13
iu26653
I♥U💯 :
mimi wewe na yule Mungu atupe neema ya uhai w kulea watoto wetu wenyew Amen
2026-11-12 09:29:12
1
amoni071
Amon 🌚 :
bawasili kwa mjamzito inatibiwa vipi
2026-11-08 15:44:15
0
hazilependo
sasha🥰 :
wangu anapupu baada ya siku tatu ,,shida ni nn ,,,ndio ako 2months
2026-11-11 15:03:38
1
s.ft.c
S ft C :
docta mwanangu ana stukastuka sana n'a kutetemeka chida Nini anamyezi miwili aliaja akiwa n'a hiki moja
2026-11-08 19:19:31
0
user2693723285208
kim xwau :
docta mtoto wangu ana kinyama uku chike kwenye uke wake,nifanyaje maana ata sielewi,Kuna docta mmoj aliniambia nisubili adi afikishe miaka mitano et
2026-11-09 05:19:29
0
the.african.icon
👿 :
jaman me mtoto wangu ana week ila ananing'ata akinyonya sasa hd matiti yana vidonda
2026-11-08 17:11:48
4
carlistamvula
Carlie :
doctor mim nilijifungua bahati mbaya mwanangu alifariki naogopa sana Tena kubeba mimba ,nilifanyiwa operation
2026-11-10 10:07:53
0
johan00803
johan :
tumbo la mwanangu halibunyiki shida nini
2026-11-10 03:22:37
0
gracemabula3726
Grace de quite :
pia unaweza ukajifungua wiki ya 37
2026-11-11 15:53:00
0
user2818807617838
@marry cruzy :
dr samahani mwanangu anashtuka sana akiskia sauti kidog je ni hatarii naomba unijib jaman
2026-11-08 17:15:10
0
agnessmichael94
Miss Aggie24 :
naombeni dawa nzuri y kusaidia kifua mwanangu anakohoa ana miezi miwili
2026-11-09 01:08:37
2
user7944167678209
princess 🥰 :
dawa ya bawasil unayo Dr jessy nimepata ya kinyama nje bada ya kujifungua inauma sana choon kigum sina raha 🥺🥺🥺
2026-11-08 15:16:40
1
badlovy41
Aiem Mommielle🦋 :
jamani Mimi mtoto wangu ndo ana week na siku mbili sasa kitovu kimekatik na baht mbaya nmekuta kimeingia nyuzi na imegandia hapo yn naogp jman
2026-11-09 12:25:53
0
josephinefredrick
josephinefredrick :
Dr jessy naomba nisaidie dawa ya mba kwa mtoto wa miez miwili yani mba zinamtoka zinakuwa kama ukoko yani gamba anajikuna sana na analia sana??[Tears of joy]
2026-11-08 15:16:48
0
user527281281731
user527281281731 :
nakupenda sana nimekufatilia mwanzo waujauzito adimwisho nimeshajifungua namtoto wa kike nakupenda mno nimejifuzwa vingi kutoka kwako mana niujauzito
2026-11-09 07:19:40
0
user3749482272176
user3749482272176 :
doctor mimi nanyonyesha ila maziwa yalikuwa yanatoka na mwanangu ananyonya ila hivi karibuni maziwa yamekata hayatoki tena je nifanyaje ili maziwa yatokee
2026-11-09 10:39:47
1
jenymtunguja
user7476065497018 :
mm wangu ana miezi nane sasa tumbo lake ni kubwa japo ni kibonge ila linanitia waswas
2026-11-09 08:59:49
2
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About