huyu jamaa ana maisha marefu sana, mungu azid kumuweka mana hii km hujachanja uwez elewa!
2026-11-09 05:46:10
9
pastory Christian :
na ss tunakuombea uzima tele maishani mwako
2026-11-08 19:39:37
10
Robert the smile maker :
sahihi father
2026-11-09 05:35:45
0
josephtesha00 :
hiyo huruma sina ndugu yangu
2026-11-09 05:30:52
0
lajabu Mkude :
WATU KAMA HAWA NDO WAKUPEWA UJUMBE AMA MWENYEKITI WATU WATAISHI KWA HEKIMA NA IMANI THABIT MUNGU AKUPE MAISHA MALEFU YENYE UTULIVU KAMA DUNIANI NA AHELA
2026-11-09 06:36:01
3
mc nyau nyau :
Watu kama hawa dunia inawahitaji sana
2026-11-09 08:14:45
2
user1230619673617 :
hii kubwa sana nimefanya hivo mimi pia namaisha yanaendelea
2026-11-09 05:14:14
3
user7174651311556 :
maamuzi sahihi hutoka kwa mtu sahihi🫡🫡🫡
2026-11-09 06:31:29
2
Adamu Mgweno :
mimi niko pamoja nae jamaaa alizi sio kitu kitu ni utu na kuheshim wengine mungu akubaliki blooo
2026-11-09 06:53:55
2
good thedon :
kwelii kaka munguu ato kunyima kituu mwaka unao Anza ukawee wabaraka kwako
2026-11-09 06:48:48
2
The Great Marcello :
daah huyu mtu ni wa pekee sana Mola amjaalie kheri nyingi
2026-11-09 04:46:42
2
king 👑 Magali jr :
uyo bro mungu akubless sana busara ya hali ya juu sana mkuuuu
2026-11-09 04:22:08
2
vicentshomy :
nimechukuwa kitu hapo
2026-11-08 20:45:15
3
abdulmohamed :
hakika ... brother mungu akupe afya njema na maisha mema pia💪💪
2026-11-09 03:19:24
1
G7 MPUTTU🛠️ :
Una busara na hekima za kimataifa kabisa mkuu wewe ni mtu safi
2026-11-09 04:39:05
2
Daisy :
Wewe ni mwanaume na nusu mungu wa mbinguni akutunze kila wakati.